Mstari wa biblia unaowafumba midomo wanasayansi wa kizazi hiki

Mstari wa biblia unaowafumba midomo wanasayansi wa kizazi hiki

Kwanini isiwe pesa kabisa na si kadi?
Na dunia unaweza kuhamia kwenye crypto currency tena decentralized
Pesa haiwezi kuwa controlled ikiwa kwenye cash ndio maana inahamishiwa kwenye kadi. Crypto japo zinatumika ila hazitakuja kutoboa dunia nzima na kuwa standards mpaka zitakapokuwa na regulations za central banks.
 
Huo mistari utakuwa misinterpreted kama mistari mingi ya biblia.
Uzuri you can use the bible to justify anything
 
Ila imeshindwa kuwaelezea namna ya kuchinja na mgao wa mirathi nguruwe ndio mnaweza maana mpaka mumpe pombe alewe halafu baadae mumpige chuma cha kichwa ili azimie na mkaambiwa mke ni mmoja halafu hakuna kuachana hata ukinikuta nampiga dudu sasa wale wajane kule hanang wataolewa na nani?
 
Simply, mifumo yote ya malipo ikiwa integrated haitawezekana kununua bila kuwa na kadi/chip. Sasa biblia imeongelea hili zaidi ya miaka 2000 iliyopita.
Ni kweli mkuu kama bibilia ipo sahihi kwa kila mwaka kuna edition mpya kama vitabu vya TIE.
 
Kuna mazezeta ushawakamata wale wa kuchukua aya moja bila kuangalia kiujumla.

Ufunuo 13
16 Pia mnyama wa pili aliwaamuru watu wote, wakubwa na wadogo, matajiri na maskini, walio huru au watumwa, wawekewe alama kwenye mikono yao ya kulia au kwenye vipaji vya nyuso zao.
 
Hiyo link umeweka inakuambia ni asilimia 25 (1 out of 4 people) tu ya watu ndio walikuwa ndani ya roman empire. Majority ya watu, yaani asilimia 75 hawakuwahi kuwa chini ya roman empire.
Mkuu kumbe hata metaphorical Statements zinakushinda..

Ntairudia hiyo sentensi..

"One in every four people on earth lived and died under the roman law"
Isome na uirudie tena..
sijui uelewa wako katika roman empire lakini kwa kifupi ni kwamba, Hapo wanazungumzia sheria ya kirumi maanaa waliwka utawala kulingana na Sheria za local na sheria hizo zilihusu kila sehemu ..
kwa mfano myahudi alihukumiwa na sheria za kiyahudi..
msamaria alihukumiwa na sheria za kisamari...
kasome link yote hapa

Biblia imeandika kuhusu matumizi ya kadi za malipo karibu miaka 2000 iliyopita. Kwamba kutakuwa na teknolojia ambayo ita-control mfumo wa malipo dunia nzima.

Ufunuo 13:17
Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)

Miaka 20 ijayo Credit card payment itakuwa imeshapitwa na wakati.....Endelea kutafuta mstari mwingine
Imeshakuja technologia ya kutumia finger print
 
Haitawezekana kununua wala kuuza bila kuwa na card/chip baada ya unyakuo wa kanisa.

Wakati biblia inaandika hili jambo watu walikuwa wanafanya barter trade.
Nikuambie tu kuwa ndani ya miaka 20 ijayo, card zitakuwa zimebakiwa matumizi labda ya 25% technologia inakuwa imeshapita huko...
 
Nadhani kutakuwa na chip ambazo zitakua connected na sehemu ya mwili wa binadamu zitakazokuwa Zina sense malipo duniani kote,
 
Ila imeshindwa kuwaelezea namna ya kuchinja na mgao wa mirathi nguruwe ndio mnaweza maana mpaka mumpe pombe alewe halafu baadae mumpige chuma cha kichwa ili azimie na mkaambiwa mke ni mmoja halafu hakuna kuachana hata ukinikuta nampiga dudu sasa wale wajane kule hanang wataolewa na nani?
Mungu wa kwenye Biblia amempa mwanadamu akili ili aitumie kwahiyo huyo mungu wenu anayefundisha kuchinja hana kazi za kufanya.

Unaandika hata vitu usivyovielewa, wapi biblia imesema mtu akizini hakuna talaka? Hao wajane wanazuiwa na biblia kuolewa? Lete maandiko.
 
Ni kweli mkuu kama bibilia ipo sahihi kwa kila mwaka kuna edition mpya kama vitabu vya TIE.
Biblia ni moja tu ipo kwenye Greek kwa new testament na Hebrew kwa old testament. Nyingine hizi ni version za lugha mbalimbali kutegemeana na ukuaji wa lugha hizo.
 
Kuna mazezeta ushawakamata wale wa kuchukua aya moja bila kuangalia kiujumla.

Ufunuo 13
16 Pia mnyama wa pili aliwaamuru watu wote, wakubwa na wadogo, matajiri na maskini, walio huru au watumwa, wawekewe alama kwenye mikono yao ya kulia au kwenye vipaji vya nyuso zao.
Sasa hapa umeongea nini tofauti na nilichosema? Hizo chip kwenye mwili zitatumika kama identity kabla mtu hajauza wala kununua baada ya unyakuo wa kanisa.
 
Mkuu kumbe hata metaphorical Statements zinakushinda..

Ntairudia hiyo sentensi..

"One in every four people on earth lived and died under the roman law"
Isome na uirudie tena..
sijui uelewa wako katika roman empire lakini kwa kifupi ni kwamba, Hapo wanazungumzia sheria ya kirumi maanaa waliwka utawala kulingana na Sheria za local na sheria hizo zilihusu kila sehemu ..
kwa mfano myahudi alihukumiwa na sheria za kiyahudi..
msamaria alihukumiwa na sheria za kisamari...
kasome link yote hapa

Still hoja unayoijenga hapa haipo relevant na suala la matumizi ya fedha katika nyakati ambazo biblia iliandikwa. Enzi zile majority ya watu walifanya barter trade.
 
Miaka 20 ijayo Credit card payment itakuwa imeshapitwa na wakati.....Endelea kutafuta mstari mwingine
Imeshakuja technologia ya kutumia finger print
Kilichoandikwa na Biblia ni ujio wa mfumo utakaoweza kucontrol kununua na kuuza bidhaa. Haijalishi kama ni chip, kadi, fingerprint au nyinginezo.

Wakati biblia inaandika hili hapakuwa hata na dalili ya kuwezekana kwake.
 
umetafsir neno tofauti chapa 666 sio kadi za mfumo wa malipo tulizo nazo leo
Mfumo wa malipo unaweza kutumia kadi, chip, fingerprint nk kutimiza andiko la biblia kwamba zinakuja siku ambapo mfumo centralized wa malipo utaweza kufanya mtu asiweze kuuza wala kununua mpaka awepo katika mfumo huo.
 
Back
Top Bottom