Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
- Thread starter
- #21
Pesa haiwezi kuwa controlled ikiwa kwenye cash ndio maana inahamishiwa kwenye kadi. Crypto japo zinatumika ila hazitakuja kutoboa dunia nzima na kuwa standards mpaka zitakapokuwa na regulations za central banks.Kwanini isiwe pesa kabisa na si kadi?
Na dunia unaweza kuhamia kwenye crypto currency tena decentralized