"Msukule" wa Mapenzi...

"Msukule" wa Mapenzi...

...ndio kusema, kati ya wanawake na wanaume...nani rahisi zaidi kuangukia mtego huu wa kupelekeshwa kama 'msukule?'
 
Mkuu jua kwamba uko so weak linapokuja suala la kushikiwa au kuwa msukule maana una weakness kubwa sana linapokuja swala la mwanamke kulalamika au kukulilia. So utakapopigiwa simu na mwanamke kuwa anahitaji faraja japo ni Ex wako jua kwamba response itakuwa kubwa sana kama huna kinyongo nae
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Sawa kabisa Lizzy nakubaliana na suggestions zako ila tu nina wasiwasi kama mtu mwenyewe ni mkorofi. Kwa hiyo option ya kwanza kuwa nimpe simu Mr anipokelee......ah kama Ex ni mkorofi anawezamporomoshea matuc au maneno ya kashfa Mr wangu bure....kitu ambacho sitapenda kabisa kitokee. Yaani Mr atukanwe, dharauliwe kwa kosa langu la kumchagua kichaa awe mpenzi wangu? Ehee ni pysch case hii kabisa. Nitampa tu taarifa Mr kama atahitaji kuaminishwa nitamuaminisha kwa kuweka loud speaker ayasikir maongezi ya hilo ji-ng'ang'anizi. Otherwise nitadeal naye mwenyewe (kwa msaada wa Mr).
Option ya pile its a big YES to me.

MJ sijui sheria zetu kuhusiana na mawasiliano binafsi zinasemaje kwahiyo siwezi kusema utafute restraining order juu ya simu zake ila nna uhakika ipo sheria inayoweza kumwadhibu mtu akikutukana/kutusi.

Itumie....unamwomba samahani Mr mapema kabisa na kama ni mwelelewa ataelewa kwamba unachotaka kufanya ndicho unachohitajika kufanya ili kuondoa kero hiyo ya hao wasumbufu.Kama ni mtu mwenye aibu na heshima akipiga mara mbili tatu na mara zote akapokea mwenye boma ataishia kuboreka maana siye anaemhitaji au anaependa kumchezea akili kwahiyo utaona mwenyewe anapotea hata kama ni kwa muda.Kama hana sasa ndo ataleta vitisho na matusi...kitu ambacho nyie mnaweza kukitumia kwa faida yenu.Mkijua ni yeye tu anapiga mnakaa tayari kwa mashambulizi...Mr anapokea huku akibonyeza RECORD...chochote atakachoongea hapo kitabaki mikononi mwenu.Sasa ikiwa ataporomosha matusi na ushahidi unao nenda kamfungulie shtaka na hata ukimwongezea polisi wa zamu 10000 kushughulikia file lake asap utakua umefanya la maana.Akijua tu umeweza hata kumfungulia shtaka atagundua kwamba yule wewe aliyemzoea sio wewe wa sasa...yani lengo lako kuu liwe kumuonyesha kwamba huna muda wala meno ya kumkenyulia tena...sasa hivi umebadilika na una ujasiri wa kupambana nae...mwonyeshe kwamba uko tayari hata kumweka ndani ili mradi kero zake zikome.
 
Hilo la kumweka ndani kama mna mtoto akisikia ulimweka ndani baba yake mbona kizaa zaa mpenzi, na nafikiri ndio mwanzo wa uadui sasa ilhali mna mtoto/watoto labda kama hamna watoto. Mi nadhani kikubwa ni kupata mwenza mnaeaminiana tu akipiga simu unamwambia huyu chizi keshaanza so mnaishia kumcheka tu ila kama we na mwenza wako hamuaminiani ndio tabu sasa. Ila wanaume wengi ukishakua una mtoto hakuamini hata kwa dawa utasikia tu hivi we na mzazi mwenzio hamkumbushiagi kweli? Anakuuliza hivyo wakati na yeye ana mtoto/watoto sa sijui wao ndio zao hizo.

Mimi huwa nasema ni bora usiolewe/oa kabisa kuliko kuwa na mwenza ambae hamuaniniani tena mmekutana wote mko above 30 ni ujinga sasa.
 
Huu uchokozi sasa naona umeamua kuchokonoa mashetani ya watu humu.........!!!!???

.....wangapi mmesha experience haya? Kuna wengine wana suffer abuses bila kujitambua...

...jichunguze kama ushawahi experience Mojawapo au zaidi kwenye Circle hii;

emotional-abuse-diagram.png

...shituka usingizini!

Wewe ni "msukule!" iwapo aliyekutenda yote haya bado anakujia na alinacha za 'hapo zamani za kale...mimi bado nakupenda, sitaki kukuacha!' Ilhali anajua usha move on na maisha yako.

Dada,

Hayo yanawezekana ila walio wengi tunakuwa na kisebusebu tu. Na pia tunajua kuwa huo ndo mlango rahisi sana wa kupandia daladala!!

Si nasikia wengi wanaamini kuwa, Ex-GF/BF ni wako hadi kiama???!!!

...lol....mstaafu mbona unan'tia unyonge sasa? Wife akichelewea kwa Ex-hubby wake alipoenda kuchukua
School fees za mtoto wao nijue 'kiama' tayari?

Mkuu jua kwamba uko so weak linapokuja suala la kushikiwa au kuwa msukule maana una weakness kubwa sana linapokuja swala la mwanamke kulalamika au kukulilia. So utakapopigiwa simu na mwanamke kuwa anahitaji faraja japo ni Ex wako jua kwamba response itakuwa kubwa sana kama huna kinyongo nae

...dahhh, nimejitahidi "not to take it personal" nimeshindwa. Compassion zinatuponza wengine.

Hilo la kumweka ndani kama mna mtoto akisikia ulimweka ndani baba yake mbona kizaa zaa mpenzi, na nafikiri ndio mwanzo wa uadui sasa ilhali mna mtoto/watoto labda kama hamna watoto. Mi nadhani kikubwa ni kupata mwenza mnaeaminiana tu akipiga simu unamwambia huyu chizi keshaanza so mnaishia kumcheka tu ila kama we na mwenza wako hamuaminiani ndio tabu sasa. Ila wanaume wengi ukishakua una mtoto hakuamini hata kwa dawa utasikia tu hivi we na mzazi mwenzio hamkumbushiagi kweli? Anakuuliza hivyo wakati na yeye ana mtoto/watoto sa sijui wao ndio zao hizo.

Mimi huwa nasema ni bora usiolewe/oa kabisa kuliko kuwa na mwenza ambae hamuaniniani tena mmekutana wote mko above 30 ni ujinga sasa.

laahhh, hilo la baba/mama mtoto kuwekwa ndani si mtoto tu,...hata ndugu jamaa na marafiki. Yaani inafikia kipindi inabidi
uwe mpole tu,...mshazaa bana, kuna leo na kesho. Uadui wa kufikishana kwa pilato sio busara hata kidogo. Kwa wenzetu wazungu, hizi restraining order wala haziwapi tabu.

Huu uchokozi sasa naona umeamua kuchokonoa mashetani ya watu humu.........!!!!???

...hahh? haya tena yemekuwa hayo tena?...hhha hhaa, mezea basi..fanya kama hujaiona hiyo post.
Turudi kwenye darasa la misukule walioshikiwa/'tulioshikiwa' remote control.

...Hivi, unamuweka kwenye kundi gani 'msukule' anaye justify matendo yake (kuwasiliana/kuonana na Ex wake) behind your back kwa maelezo, "...sikukwambia kwasababu sitaki kukuudhi!"
 
...dahhh, nimejitahidi "not to take it personal" nimeshindwa. Compassion zinatuponza wengine.

Mkuu take it or leave it ila ukweli unabaki kuwa we are too emotional when it comes to a woman.We are also too weak when it comes to a woman cry over our shoulder even if she is your Ex. Usiseme tena hilo la compassion maana ni mbaya sana.
Mwanaume ni mwanaume akiwa na wanaume wenzake na misuli watatunishiana sana ila mbele ya mwanamke mwanaume ni weak sana tena inapofikia mwamake analalamika au anakulilia au anapotoa maombi fulani kwako. Ndio hapo tunapofikia kuwa msukule bilpa hata kujijua
 
Unajua mbu ndio maana watu zamani walikuwa wanawatelekeza watoto vijijini huko au wengine kuwakana kabisa ili kulinda mahusiano mapya, matokeo yake ndio wametengeneza hiki kizazi kibaya cha sasa kwani wanaendeleza malezi yale yale waliyoyapata wanafanya tu kukomoa wenzao. Eiyer amesema napata furaha ya kukopa kutoka kwa binti yangu lakini hapana furaha ya kukopa napata kutoka kwa mpenzi/ndugu/rafiki ambao Mr. rocky amesema wengi ni wanafiki.

Furaha ya kweli inatoka kwa mtoto bana haina unafiki kabisa ndio maana unakuta watu hata wakishoana wakishazaa tu mapenzi yanaisha yanahamia kwa watoto. Utakuta kila mtu yuko busy ili atengeneze maisha ya watoto wake na si mapenzi tena. So lazima ifike kipindi ni bora baba/mama uteseke lakini umjengee mtoto wako maisha mazuri kwani hakukuomba umlete duniani na niwajibu wako kufanya kila linalowezekana afanikiwe ashindwe tu mwenyewe.
 
Hilo la kumweka ndani kama mna mtoto akisikia ulimweka ndani baba yake mbona kizaa zaa mpenzi, na nafikiri ndio mwanzo wa uadui sasa ilhali mna mtoto/watoto labda kama hamna watoto. Mi nadhani kikubwa ni kupata mwenza mnaeaminiana tu akipiga simu unamwambia huyu chizi keshaanza so mnaishia kumcheka tu ila kama we na mwenza wako hamuaminiani ndio tabu sasa. Ila wanaume wengi ukishakua una mtoto hakuamini hata kwa dawa utasikia tu hivi we na mzazi mwenzio hamkumbushiagi kweli? Anakuuliza hivyo wakati na yeye ana mtoto/watoto sa sijui wao ndio zao hizo.

Mimi huwa nasema ni bora usiolewe/oa kabisa kuliko kuwa na mwenza ambae hamuaniniani tena mmekutana wote mko above 30 ni ujinga sasa.
Ushauri wa lizzy ni mzuri...huyo x msumbufu (mpaka anakutusi) dawa yake ni kumchukulia hatua kali...na hivyo vigezo vya kuzaa naye ni gia tu za kukuharibia tu au kutaka kukutumia tena...na kumshirikisha mara kwa mara (mume) ktk hiyo case isiyokwisha unajitengenezea bomu, kwani mwanaume ni sumu 'kulinganishwa', unatengeneza 'uasi wa siri' ndani yake...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
...Mkuu take it or leave it ila ukweli unabaki kuwa we are too emotional when it comes to a woman.We are also too weak when it comes to a woman cry over our shoulder even if she is your Ex. Usiseme tena hilo la compassion maana ni mbaya sana.
Mwanaume ni mwanaume akiwa na wanaume wenzake na misuli watatunishiana sana ila mbele ya mwanamke mwanaume ni weak sana tena inapofikia mwamake analalamika au anakulilia au anapotoa maombi fulani kwako. Ndio hapo tunapofikia kuwa msukule bilpa hata kujijua

Ama?!....iweje compassion iwe mbaya ilhali ni tabia wengine tumejengewa nayo toka utotoni?
Nitakupa mfano mmoja.

Mara nyingi, hasa kama ni mzazi mwenzio...Unaamini msaada utaompa, indirectly unamnufaisha na mwanao. Kweli si kweli? Utajiskiaje pale mwanao anapokuwa mnyonge kwakuwa 'humjali' mama'ke/baba'ke [anayekupelekesha kimsukule?]

Utamwambia mwanao "...huyu mama'ko/baba'ko nuksi sana muone hivi hivi?" ....Hapana, huko ni kukosa busara.
Sasa basi, ukichunguza vizuri kesi hiyo utagundua huyo abuser wako anatumia 'USING CHILDREN kwenye hilo gurudumu hapo juu la
power and control... kaazi sana kukwepa huu 'usukule' jamani...

Correct me if am wrong.

Unajua mbu ndio maana watu zamani walikuwa wanawatelekeza watoto vijijini huko au wengine kuwakana kabisa ili kulinda mahusiano mapya, matokeo yake ndio wametengeneza hiki kizazi kibaya cha sasa kwani wanaendeleza malezi yale yale waliyoyapata wanafanya tu kukomoa wenzao. Eiyer amesema napata furaha ya kukopa kutoka kwa binti yangu lakini hapana furaha ya kukopa napata kutoka kwa mpenzi/ndugu/rafiki ambao Mr. rocky amesema wengi ni wanafiki.

Furaha ya kweli inatoka kwa mtoto bana haina unafiki kabisa ndio maana unakuta watu hata wakishoana wakishazaa tu mapenzi yanaisha yanahamia kwa watoto. Utakuta kila mtu yuko busy ili atengeneze maisha ya watoto wake na si mapenzi tena. So lazima ifike kipindi ni bora baba/mama uteseke lakini umjengee mtoto wako maisha mazuri kwani hakukuomba umlete duniani na niwajibu wako kufanya kila linalowezekana afanikiwe ashindwe tu mwenyewe.

Ehhh, Maty...hiyo ya mkishazaa mapenzi yanaisha, yanahamia kwa mtoto/watoto nitahitaji maelezo ya ziada kabla
sijaanza kuhangaikia udugu wa shuka kupata mtoto na dada'ko.
 
Ushauri wa lizzy ni mzuri...huyo x msumbufu (mpaka anakutusi) dawa yake ni kumchukulia hatua kali...na hivyo vigezo vya kuzaa naye ni gia tu za kukuharibia tu au kutaka kukutumia tena...na kumshirikisha mara kwa mara (mume) ktk hiyo case isiyokwisha unajitengenezea bomu, kwani mwanaume ni sumu 'kulinganishwa', unatengeneza 'uasi wa siri' ndani yake...

...Unamaanisha mke afanye hayo [mawasiliano] "behind his (husband) back?!"... hiyo sio cheating?
 
Ama?!....iweje compassion iwe mbaya ilhali ni tabia wengine tumejengewa nayo toka utotoni?
Nitakupa mfano mmoja.

Mara nyingi, hasa kama ni mzazi mwenzio...Unaamini msaada utaompa, indirectly unamnufaisha na mwanao. Kweli si kweli? Utajiskiaje pale mwanao anapokuwa mnyonge kwakuwa 'humjali' mama'ke/baba'ke [anayekupelekesha kimsukule?]

Utamwambia mwanao "...huyu mama'ko/baba'ko nuksi sana muone hivi hivi?" ....Hapana, huko ni kukosa busara.
Sasa basi, ukichunguza vizuri kesi hiyo utagundua huyo abuser wako anatumia 'USING CHILDREN kwenye hilo gurudumu hapo juu la
power and control
... kaazi sana kukwepa huu 'usukule' jamani...

Correct me if am wrong.

Mbu uko sawa
Ila sasa kutokana na hilo na kule kwa mwanaume kutotaka kuonekana mnyonge mbele ya mwanaume na kutotaka kudharaulika mbele ya mwanamke ndio hapo sasa anapokuwa msukule. Maana ukifikiria ile dharau mbele ya mwanao au mbele ya wanawake marafiki zake na Ex wako kuwa unashindwa hata kumsaidia yeye na may be yeye mwenyewe au yeye na mtoto wako hapo unajitututmua kufanya lolote ili kufanikisha kile anachokitaka na hapo unarudi kule kule kuwa msukule wa kila unaloambiwa unasema ndio mzee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Ama?!....iweje compassion iwe mbaya ilhali ni tabia wengine tumejengewa nayo toka utotoni?
Nitakupa mfano mmoja.

Mara nyingi, hasa kama ni mzazi mwenzio...Unaamini msaada utaompa, indirectly unamnufaisha na mwanao. Kweli si kweli? Utajiskiaje pale mwanao anapokuwa mnyonge kwakuwa 'humjali' mama'ke/baba'ke [anayekupelekesha kimsukule?]

Utamwambia mwanao "...huyu mama'ko/baba'ko nuksi sana muone hivi hivi?" ....Hapana, huko ni kukosa busara.
Sasa basi, ukichunguza vizuri kesi hiyo utagundua huyo abuser wako anatumia 'USING CHILDREN kwenye hilo gurudumu hapo juu la
power and control... kaazi sana kukwepa huu 'usukule' jamani...

Correct me if am wrong.

Ehhh, Maty...hiyo ya mkishazaa mapenzi yanaisha, yanahamia kwa mtoto/watoto nitahitaji maelezo ya ziada kabla
sijaanza kuhangaikia udugu wa shuka kupata mtoto na dada'ko.

Hahahah mbu bana eti udugu na shuka nimechekaje? umesema hapo juu kuukwepa usukule ni kazi kama mna mtoto/watoto sa huoni ndio mapenzi yashahama hivyo? Mara nyingi hata ugomvi mdogo tu utawasikia wanandoa kwa sababu tuna watoto nitafanyaje watoto ndio kila kitu mkuu, hivi kuna mtu anaweza kuendelea kumpenda mkewe/mumewe upendo ule ule ambao alikua anampenda kabla ya kuzaa kweli?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
...Unamaanisha mke afanye hayo [mawasiliano] "behind his (husband) back?!"... hiyo sio cheating?
Moja ya mafunzo ya zamani ya unyago ni kutomkutanisha/gonganisha mume na x(me) kwa hali yoyote ile...kutokana na haya mambo ya sasa afahamishwe basi mara moja na isiwe ndio wimbo wa kila cku...then hatua kali zichukuliwe...unajua cc men ni watu wa kujaribu jaribu na unapotokea udhaifu basi ndio unakuwa mchezo...mbu mambo yakishafika ubaoni lazima akili irudi..
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kumbukeni kuwa zawadi pekee unayoweza kumpa mtoto wako ni kumpenda baba/mama yake. Kwa hiyo kama umezaa na mtu mvumilie tu kwa yote kwa kuwa mtoto wenu akikugundua kuwa unamchukia baba/mama yake jua fika hata umgharimie kiasi gani na yeye atakuchukia tu. Mimi baba na mama waliachana nikiwa form one. Baba ni chanzo cha ndoa kuvunjika lakini nashukuru Mungu mama always anatusisitiza tuwe tunamsalimia baba yetu and there is no msukule between them kwani wote sasa ni above 60 and my mum hakuolewa tena wala hakufuatilia maisha ya baba baada ya kuachana. Baba pia siku zote anaongea positive things about our mum. Nina hakika wangewekeana ligi za kuchafuana kwetu mmoja wao au wote wangekosa upendo wetu.

Nadhani hii ndiyo inafanya watu waseme watu waliokwisha zaa pamoja hawahachani. Tumeshaona wengi wanarudiana even after 10 years.
 
Mbu uko sawa
Ila sasa kutokana na hilo na kule kwa mwanaume kutotaka kuonekana mnyonge mbele ya mwanaume na kutotaka kudharaulika mbele ya mwanamke ndio hapo sasa anapokuwa msukule. Maana ukifikiria ile dharau mbele ya mwanao au mbele ya wanawake marafiki zake na Ex wako kuwa unashindwa hata kumsaidia yeye na may be yeye mwenyewe au yeye na mtoto wako hapo unajitututmua kufanya lolote ili kufanikisha kile anachokitaka na hapo unarudi kule kule kuwa msukule wa kila unaloambiwa unasema ndio mzee

...aisee! Imenibidi nicheke tu...ndio kusema hii hali haikwepeki! Once a Victim always a victim unless umtie sumu mwanao/wanao nao waanze kumchukia mama/baba yao...!

Msibishe, hii nimeiona bana...mama mtu kawatia sumu ya maneno watoto hawataki hata kumsikia baba yao. Jamaa hana
mbinu yoyote ya mawasiliano na Ex-mkewe wala watoto. Jamaa kaishia kumwaga misaada ya pesa kwa ndugu wa mke kama hana akili uzuri. Mke ananuna lakini hali ya uchumi ndio hivyo tena...[ndugu] wakatae pesa za bure?

Psychological abuses hizi, hata hujui mshindi nani.

Hahahah mbu bana eti udugu na shuka nimechekaje? umesema hapo juu kuukwepa usukule ni kazi kama mna mtoto/watoto sa huoni ndio mapenzi yashahama hivyo? Mara nyingi hata ugomvi mdogo tu utawasikia wanandoa kwa sababu tuna watoto nitafanyaje watoto ndio kila kitu mkuu, hivi kuna mtu anaweza kuendelea kumpenda mkewe/mumewe upendo ule ule ambao alikua anampenda kabla ya kuzaa kweli?

...LOL, Maty unazidi kujichongea...hhhahhahha! ngoja waje kukujibu wenzio bana, mimi sitaki kujitia kitanzi leo....

Moja ya mafunzo ya zamani ya unyago ni kutomkutanisha/gonganisha mume na x(me) kwa hali yoyote ile...kutokana na haya mambo ya sasa afahamishwe basi mara moja na isiwe ndio wimbo wa kila cku...then hatua kali zichukuliwe...unajua cc men ni watu wa kujaribu jaribu na unapotokea udhaifu basi ndio unakuwa mchezo...mbu mambo yakishafika ubaoni lazima akili irudi..

...dahhh,....! "mume" mwenzio (ex- wa mkeo) hawezi kuwa rafikiyo? nauliza tu...lol!
 
Kumbukeni kuwa zawadi pekee unayoweza kumpa mtoto wako ni kumpenda baba/mama yake. Kwa hiyo kama umezaa na mtu mvumilie tu kwa yote kwa kuwa mtoto wenu akikugundua kuwa unamchukia baba/mama yake jua fika hata umgharimie kiasi gani na yeye atakuchukia tu. Mimi baba na mama waliachana nikiwa form one. Baba ni chanzo cha ndoa kuvunjika lakini nashukuru Mungu mama always anatusisitiza tuwe tunamsalimia baba yetu and there is no msukule between them kwani wote sasa ni above 60 and my mum hakuolewa tena wala hakufuatilia maisha ya baba baada ya kuachana. Baba pia siku zote anaongea positive things about our mum. Nina hakika wangewekeana ligi za kuchafuana kwetu mmoja wao au wote wangekosa upendo wetu.

Nadhani hii ndiyo inafanya watu waseme watu waliokwisha zaa pamoja hawahachani. Tumeshaona wengi wanarudiana even after 10 years.

...thanks for sharing Nyumba Kubwa,...dahhh...! mfano mzuri sana huo wa kuachana kwa wema.
Tatizo, kama mada hii inavyojiendesha...kuna wale wenza wasiokubali 'sinema imekwisha!'...
ambao iwe mmezaa, au la...wao wanataka waendelee kuwa sehemu ya maamuzi ya maisha yako ya kila siku.

Ndio tunajaribu kutafuta mbinu ya kukabiliana na hayo hapa. Maana tayari tushaona madhara yake mpenzi/mke/mume mpya
asipokuwa mwelewa, mapenzi/ndoa haitodumu...Si umemsoma Nyamayao anavyoipigania yake? Abarikiwe sana shemeji yangu
[msukuma]...huo ni mfano mmoja wapo.
 
Kumbukeni kuwa zawadi pekee unayoweza kumpa mtoto wako ni kumpenda baba/mama yake. Kwa hiyo kama umezaa na mtu mvumilie tu kwa yote kwa kuwa mtoto wenu akikugundua kuwa unamchukia baba/mama yake jua fika hata umgharimie kiasi gani na yeye atakuchukia tu. Mimi baba na mama waliachana nikiwa form one. Baba ni chanzo cha ndoa kuvunjika lakini nashukuru Mungu mama always anatusisitiza tuwe tunamsalimia baba yetu and there is no msukule between them kwani wote sasa ni above 60 and my mum hakuolewa tena wala hakufuatilia maisha ya baba baada ya kuachana. Baba pia siku zote anaongea positive things about our mum. Nina hakika wangewekeana ligi za kuchafuana kwetu mmoja wao au wote wangekosa upendo wetu.

Nadhani hii ndiyo inafanya watu waseme watu waliokwisha zaa pamoja hawahachani. Tumeshaona wengi wanarudiana even after 10 years.
Nyumba kuu, habari yako..kama huyo x ni mstaarab safi.. lakini anataka kukupellekesha kimsukule kama alivyosema mbu..huyo si wa kuangalia usoni (nihatari kwa ndoa yako)..na hata ukimchekea bado tu anaweza kukuchonganisha na watoto..na hao watoto hata waambiwe nini mzazi atabaki kuwa mzazi tu..kwani imeandikwa muheshimu(mtunze) baba/mama yako upate heri(mafanikio) na maisha marefu duniani..hiyo ni amri na tena ina ahadi na adhabu ndani...usihofu hili wasipolisikia kwako basi ulimwengu utawakumbusha tuu..
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Have her out with another brother in the bar. My son with another man in the car. Girl you ain't gonna play me like that.

I'm just not gonna be tolerating this and paying that. See I pay the bills, I pay the phone.

If I catch you here again, hommie we gonna have a problem. Let it be known, I might not stay here but this is my home.

Leave it alone, cause this child is my baby. No ifs, ands, buts or maybes.

I don't wanna be with her, but I just can't stand to see her with nobody else. I know it's bad but I can't help myself.

See, I'll be damned if I let my son call another man daddy. And if u feel like I feel, that's baby mama love.

NB: My rendition by courtesy of N2U.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom