johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbunge wa Geita vijijini Dr Musukuma amesema nchi hii imejaa Wezi kwenye Ofisi zote yaani ni Wizi kila kona na hakuna hatua zinachukuliwa na Mawaziri hawako serious kabisa.
Msukuma amesema ni aibu kuwa na taifa la Wezi ambalo kila mwaka CAG anatuletea Taarifa za Wezi tu.
Msukuma ametaka Bunge liwe na meno na Serikali ijiangalie sana katika Utendaji wake.
Chanzo: TBC
Msukuma amesema ni aibu kuwa na taifa la Wezi ambalo kila mwaka CAG anatuletea Taarifa za Wezi tu.
Msukuma ametaka Bunge liwe na meno na Serikali ijiangalie sana katika Utendaji wake.
Chanzo: TBC