Msukuma: Nyie wasomi huko shuleni mnafundishwa kuliibia taifa? Kila mahali nchi hii wamejaa wezi wanaovaa suti na tai!

Msukuma: Nyie wasomi huko shuleni mnafundishwa kuliibia taifa? Kila mahali nchi hii wamejaa wezi wanaovaa suti na tai!

Kwani mbona huwa tunaona watu wana mshtaki mwanasheria mkuu na viongozi wengine wa serikali, hebu Mkuu okoa jahazi wapeleke kortini.
Narudia. Tunachagua serikali na kuipa vyombo kama ili kuchunguza na kupeleka mahakamani wahalifu. Siyo kazi ya raia.
 
Narudia. Tunachagua serikali na kuipa vyombo kama ili kuchunguza na kupeleka mahakamani wahalifu. Siyo kazi ya raia.
Sasa bado haijaona, wewe umetangulia kuona nena kaviambie vyombo vya uchunguzi Mkuu, whistle-blower.
 
Acheni lawama za kijinga. Shida ya hii nchi ni mfumo wa utawala wa CCM . Ulitaka muhasibu afanye Nini wakati Rais anatetea kukopa nje.
Matusi hayasaidii ndugu...

Ukweli ni kwamba wahasibu huko serikalini pamoja na CPA zao ni mabingwa wa kutengeneza michoro ya wizi...kwenye kila wizi huko serikalini kuna plenty of CPAs behind...your integrity levels are zero and your NBAA is useless!

Acheni wizi...!

Kukopa siyo kuiba ndugu, shida ipo kwenu wahasibu mnapoiba pesa za mkopo, mnaitia nchi gharama mara mbili: moja ni hasara ya wizi mnaofanya na pili ni kulipa mkopo ambao haukuwa na faida kwa kuwa pesa zenyewe ziliibwa!
 
Msukuma ana wivu na wasomi [emoji23][emoji23]

Wakati wenzake wakisoma yeye alikimbilia kuchunga ng'ombe

Wizi wa Mali ya umma hauna Cha elimu wala nini
Kaongea ukweli,na lazima muumie moyo.kwani wanaoiba sii kweli wasomi!!!baaado hujasema
 
Watanzania wote ni WEZI.

Ni kwa vile tu wengine hawajapata nafasi ya kuiba.

Kwenye maongezi ya watanzania wengi utasikia wakisema akipata kazi serikalini yani michongo na madili kama yote atafanya.

Wizi ni asili ya mtanzania.Ukitaka thibitisha hili angalia mentality za watanzania wengi kutaka nafasi za kazi kwenye taasisi kubwa kubwa kama TRA,TPA n.k

Lengo si ili wafanye kazi kwa weledi, Ni kwa vile wanaona taasisi hizo madili ya maokoto ni chapu chapu.

Sasa ukiwa na kizazi cha namna hii, Hakuna maendeleo zaidi ya wizi, rushwa, uhujumu uchumi, ubadhirifu wa fedha za umma..
Umendika ukweli mtupu mkuu...nakuunga mkono.

Tena siku hizi wanatumia tafsida kuwasifu wezi kwa kuwaita wapigaji...mwizi aitwe mwizi ali nafsi imsute aweze kuacha tabia ya wizi...!
 
Kazi ipo na ligi ndio bado mbichi kabisa ikifika round ya mwisho bingwa atakuwa amejulikana na hapo ni December 2025. Kazi iendelee..
 
Back
Top Bottom