johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hakuna bunge paleMbunge wa Geita vijijini Dr Msukuma amesema nchi hii imejaa Wezi kwenye Ofisi zote yaani ni Wizi kila kona na hakuna hatua zinachukuliwa na Mawaziri hawako serious kabisa
Msukuma amesema ni aibu kuwa na taifa la Wezi ambalo kila mwaka CAG anatuletea Taarifa za Wezi tu
Msukuma ametaka Bunge liwe na meno na Serikali ijiangalie sana katika Utendaji wake
Source: TBC
Wezi ccm ambao ndio walimpa Ubunge wa wizi......Mwizi anamkoromea mwenzakeMbunge wa Geita vijijini Dr Msukuma amesema nchi hii imejaa Wezi kwenye Ofisi zote yaani ni Wizi kila kona na hakuna hatua zinachukuliwa na Mawaziri hawako serious kabisa
Msukuma amesema ni aibu kuwa na taifa la Wezi ambalo kila mwaka CAG anatuletea Taarifa za Wezi tu
Msukuma ametaka Bunge liwe na meno na Serikali ijiangalie sana katika Utendaji wake
Source: TBC
Kuna mtu kafungwa miaka 14 na Faini milioni 5 kwa kukutwa na Nyama ya mnyama ambae hana faida yoyote kwenye welbeing ya binadamu zaidi ya kuliwa na nyama yake hatoi zaidi ya kilo tatuSerikali hii iliyonfunga binti miaka 20 kwa kukutwa na bangi na kuwaacha hao papa wakwenye ripoti ya CAG [emoji1][emoji1]
Wakati wa Sitta iliwezekana!Hatuwezi kuwa na bunge lenye meno asilani... infact hatuna bunge
Mbona miaka yote inajiangalia na inajiona mtaifanya nini wakati ndiyo iliwaingiza kihuni bungeniMsukuma ametaka Bunge liwe na meno na Serikali ijiangalie sana katika Utendaji wake
Haha umekazia Feza ngoja Myiramba aješ¤£Kama Mawaziri wanaiba kwanini watendaji wasiibe? nani hataki watoto wake wasome pale Feza?
La kushulikia Tu Team ELWakati wa Sitta iliwezekana!
Hao wanaotajwa kuwa wezi ni technical sana, wanapoiba wanatenga kiasi fula cha kwenda kuwapoozea hao wabunge, kumbukeni kuna wabunge walikamatwa kwa rushwa miaka fulani akiwemo Zambi, wengine nimewasahauSerikali hii iliyonfunga binti miaka 20 kwa kukutwa na bangi na kuwaacha hao papa wakwenye ripoti ya CAG [emoji1][emoji1]
Majangili ya mali za umma nchi hii ni Mwigulu, Aweso, Ummy, Kijachu, Mbarawa, Bashe, Jafo,Haha umekazia Feza ngoja Myiramba aješ¤£
Cha ajabu chama chake kilo madararakani kwa wizi wa kura!Mbunge wa Geita vijijini Dr Msukuma amesema nchi hii imejaa Wezi kwenye Ofisi zote yaani ni Wizi kila kona na hakuna hatua zinachukuliwa na Mawaziri hawako serious kabisa
Msukuma amesema ni aibu kuwa na taifa la Wezi ambalo kila mwaka CAG anatuletea Taarifa za Wezi tu
Msukuma ametaka Bunge liwe na meno na Serikali ijiangalie sana katika Utendaji wake
Source: TBC
Lowasa ametangulia lini mbele za haki?La kushulikia Tu Team EL
M6 alipambana sana na Vijana wa EL na akawangusha wote kupitia kiti chake
Jamaa alikua anabomoa Ngome ya EL ila Maajabu Mkwere akatema 2010
Bunge la S6 linasifika kwa kuwasagia kunguni waliokua against na Mwanalondo
Na Mpango wao ulibuma tusiongee sana wameshatangulia mbele ya haki wapumzike kwa Amani
Yeye mwenye ni jangili haswaCha ajabu chama chake kilo madararakani kwa wizi wa kura!