Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Naam mjukuu!Hmm mzee🫢
Sasa bro hata km sijasoma huko mbeleni kweni nitasema nini kitu ambacho sikijui kaka.Bro yani wewe nakutegemea sehemu halafu unakuja kujilinda hapa😂
Hiyo ni mistari taarabu weweWe naye leo unamuandikia nani mistari migumu hivi? Ulipata limshangazi😂
Nimezeeka mkuu, ila hata kuweka mkono sitashindwa😬😬Vipi hapa, unapigaa ?View attachment 3666323
Una tabu sana we mzee🫢Naam mjukuu!
Utaelewa mbele ya safari! Huku hapakufai great thinker😎Sasa bro hata km sijasoma huko mbeleni kweni nitasema nini kitu ambacho sikijui kaka.
Hahaha ni yamoto band😅Hiyo ni mistari taarabu wewe
Hebu mtuoe tupunguze umbea humu😀Umeongea kweli sema hayo makundi kuvunjika hadi waolewe na waoaji tuko likizo.
Misery loves company
Likizo inaisha December malizia umbea wa mwisho mwisho la mama twende zetu kwa cabin na shamba boy David.Hebu mtuoe tupunguze umbea humu😀
Hahahah aisee mdogo wangu sitaki kumuadhibu hivyo, hapo mjomba atahusika😎Likizo inaisha December malizia umbea wa mwisho mwisho la mama twende zetu kwa cabin na shamba boy David.
Ufikiri sana ili iweje!! Wakati Kila pembe ya dunia ushatega vikapu vyako vya kuokota.Sijawahi kujitambulisha hivyo hata nyuzi tu za ugreat thinker sinaga😂