Archnemesis 2-0
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 1,564
- 3,279
Gen Z ya konyo, me ndo saizi yako hujajua tu me ndo retirement plan yako bi mdash 😂😂Vipengele gani mzee, si hicho tu! Kidumu kibido ni nini tena, ila gen z mna lugha ngumu😆
Hahhah sina kundi niko kivyangu unajua eeh? Unakobeka ni nini tena mbona hivyo?🙄
Kidumu ni mpango wa kando, ndo ile wamama wa kiswazi wanashauri mabinti zao mafiga matatu yakupikia yani wawe na michepuko au ukiwa na ndoo(mume) kua vidumu viwili pia kutunzia maji ya emergency. Sasa kidumu kibido ni msanii aliimba na Juliana 'haturudi nyuma' nikafikiri unamjua.
kaa kimasta nawewe umelendemka mnoo