ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Swali, una big boobs?Wapi? Lohhh
Swali, una big boobs?Wapi? Lohhh
Ushasema ni tabia za "kike" na zinafanywa na wanawake. Kama ni tabia basi sio rahisi kubadili. Hayo mambo yako tangu enzi, ni vile tu yamehamia mitandaoni kutokana na kukua kwa teknolojia. Kwahiyo hamna jipya.
Ni kama tu ambavyo mnaitumia mitandao kutafuta kazi, wachumba, kujifunza mambo nk nk.
Angejua ulivyo.. ! Usiniulize nimejuaje..🙌🏿😀Umeshanifananisha nyau we! Hunipati🤣
Archnemesis 2-0
Wewe haupo kwenye mtandao huu ?Hii mada iko too personal
🤣🤣🤣🤣Kwenye umbea muwe mnatajana majina jamani ili kufanya ubuyu uwe rahisi rahisi kueleweka.
Natanguliza shukrani 😊
Daaaaah!Sijaipata idhara kwangu ulipomchukua kwa kuwa sina papara nami nikakuachia
Mola kanivua dhara sjui ndoa kanivua mwingine kaniletea kaniletea
Nimempata mbora donge litawaingia
Mkuu @
Mkuu Mshana Jr, kuna mstari mmoja umebeba uzito mkubwa sana: "Kuwa GT sio title ni matendo."
Mitandao imewapa watu sauti, lakini sio kila sauti imepewa hekima. Wengi tunajifunza kucheza na keyboard kabla ya kujifunza kudhibiti hisia zetu, ndipo screenshot zinakuwa silaha, siri zinageuka mtaji, na tofauti za maoni zinazaliwa kuwa uadui.🤔
Mtu mwenye busara halindi tu heshima yake, bali hulinda na faragha ya wengine. Si kila unalojua linahitaji kusemwa, na si kila unalotumwa linahitaji kusambazwa.
Tukitumia JF kujenga fikra kuliko kujenga makundi ya bifu, ndipo slogan ya Great Thinkers itakuwa inaishi kwenye vitendo, si kwenye ID pekee.
Kama.kuna la ziada basi unapewa buku uuuh,, kwa vipi unashinda una bao zoa zoa bandika bandika bandua bandua nyakua nyakua sio kwa wanguDaaaaah!
Umejua kunipunguzia stress jioni hii 🤣
Kabisaa nikujibu?Swali, una big boobs?
Nimeshajua😂Angejua ulivyo.. ! Usiniulize nimejuaje..🙌🏿😀View attachment 3666751
Nimekushindwa🙌🏾Kama.kuna la ziada basi unapewa buku uuuh,, kwa vipi unashinda una bao zoa zoa bandika bandika bandua bandua nyakua nyakua sio kwa wangu
Sema nimeshazahau Kuna ileNimekushindwa🙌🏾