Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,835
- 8,703
🔥 🔥🔥Mzee hupendagi amani kabisa.
Kuna namna ukiona pamepoa unatafuta njia ya kutikisa Mizinga wanakijiji waumizwe.














🔥 🔥🔥Mzee hupendagi amani kabisa.
Kuna namna ukiona pamepoa unatafuta njia ya kutikisa Mizinga wanakijiji waumizwe.














Nadhani kuna sehemu tumepishana kwenye tafsiri ya hoja yangu. Sikuiandika nikilenga wanawake wala wanaume pekee,Humu jukwaani haturuhusiwi kabisa kupangiana maisha
Kila mtu anaweza kufanya anachotaka kwa uwezo wake, ilimradi havunji sheria.
Ni ushamba na ujinga mtu yeyote kujikweza huku akiwadharau wengine na kuwaona sio lolote, sio chochote.
Hakuna haja ya mtu yeyote sio mwanamke pekee na hata mwanaume kujifanya anamjua mtu mwingine kuliko yeye mwenyewe anavyojifahamu.
Hakuna haja ya mtu yeyote kukurukia PM za watu akijidai anawajua sana, anajua maisha yao, au anajua wanachofanya.
Huo ni ushamba na upumbavu.
Mwisho kabisa, wanawake sisi ni binadamu wenye utashi, kama walivyo wanaume
Japo nowadays wanaume ndio wana majungu kuliko hata sisi, gender ke. 😂😂
Tuheshimiane huku kila mtu akifanya kilichomleta
Nasanzuka ✋️
Sijakupinga nimekazia tu kwenye comment yako kiufupi nimeunga mkono hoja yakoNadhani kuna sehemu tumepishana kwenye tafsiri ya hoja yangu. Sikuiandika nikilenga wanawake wala wanaume pekee,
nilikuwa nazungumzia tabia za watu wote tunapotumia mitandao. Hoja yangu ilikuwa kwamba busara inaonekana kwenye matendo kulinda heshima na faragha ya wengine, kutosambaza kila jambo, na kutofanya tofauti za maoni ziwe uadui.
Nakubaliana na wewe kwamba kila mtu ana utashi wake na hastahili kupangiwa maisha. Nilichosisitiza ni uwajibikaji wa namna tunavyotumia sauti tuliyopewa na mitandao, bila kujali jinsia.
ShesRise_1
Na mimi niliandika in general tofauti na uzi ulivyo jielekeza pasipo kulenga mabinti pekeeSijakupinga nimekazia tu kwenye comment yako kiufupi nimeunga mkono hoja yako
Nzega tena umepaa au🤣Sema nimeshazahau Kuna ile
Kisha nampatia dose impayo usingizii chezea uswahilini hz hata huna muda Ila zinaingia kichwani sasa nipo nzega huku nshazahau 😅
Hapana mambo ya vikundi na ubest hata kwenye maisha halisi sina, circle yangu ni ndogo sanaaaa, siwezi heka heka,Wewe haupo kwenye mtandao huu ?
1 week to go 😊🍾🥂
Au nasema uongo Christine🥰
Hutaki makundi dr😂Hapana mambo ya vikundi na ubest hata kwenye maisha halisi sina, circle yangu ni ndogo sanaaaa, siwezi heka heka,
Yaaani! nitakua Mwanza this time natafuta kufanya adventure🥳🥂
Hapana mrembo siyawezi kwanza mimi sio muongeaji hadi kwa watu nilioshibana nao mnoooo,Hutaki makundi dr😂
Mwanza unaenda lini? U never know😎
Nilisikia kuna makundi pm watu wenye nyota zao wanajadiliwa sijui huwa wanaoteshwa au wanafarijiwa wao ni muhimu sana🤓Hapana mrembo siyawezi kwanza mimi sio muongeaji hadi kwa watu nilioshibana nao mnoooo,
Utakuwepo mpaka lini? U never know naweza kuwa around pia,Mwanza naenda weekend hii, kama upo tuonane basi😋🥰😄
Nitakuwepo kwa muda mfupi tu, kusheherekea birthday yangu 🥳🥂Nilisikia kuna makundi pm watu wenye nyota zao wanajadiliwa sijui huwa wanaoteshwa au wanafarijiwa wao ni muhimu sana🤓
Haya mambo ya wabeba maono hayatuhusu sisi tusiopenda watu😎
Utakuwepo mpaka lini? U never know naweza kuwa around pia,
Hongera sana umezaliwa miezi ya kupumzika😍Nitakuwepo kwa muda mfupi tu, kusheherekea birthday yangu 🥳🥂
Ukijibu unajibu tu, kwani si maumbile😬😬Kabisaa nikujibu?
Basi sawa, mi sina!Ukijibu unajibu tu, kwani si maumbile😬😬
Mambo gani haya!Basi sawa, mi sina!
Issue iko too deepAu nasema uongo Christine🥰
Wameshapata Muongozo 😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Natumaini ombi lako litakubaliwa.