Msumari wa TEC: Mambo Muhimu Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Hivi Karibuni wa TEC (Agosti 2026)

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Mkutano huu na waandishi wa habari ulifanyika mara baada ya viongozi wa TEC kukutana na kufanya mazungumzo na Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Lengo la Kukutana na Rais: Padre Dkt. Charles Kitima alibainisha kuwa mkutano huo ulitokana na ombi la maaskofu wenyewe.

Walitaka kuwasilisha mtazamo wao kuhusu hali ya kisiasa nchini na kushauri njia bora ya kuiponya nchi kufuatia matukio ya chaguzi zilizopita.

Andiko la Kurasa Nne: Maaskofu walimkabidhi Rais andiko rasmi lenye kurasa nne.

Andiko hili linasisitiza umuhimu wa kusimamia ukweli, msamaha, na haki ili kujenga mustakabali mwema wa Taifa na kuimarisha mshikamano.

Amani na Maadili:
Viongozi hao walijadili kwa kina nafasi ya madhehebu na viongozi wa dini katika kulea jamii yenye maadili mema, uwajibikaji, amani, na kuacha mambo yanayoweza kuwagawa wananchi

View: https://www.instagram.com/reel/Db_YkqCjBIA/?igsh=MWZ6NGhzamcwM3BibQ==
 
Naona Serikali iliamua kuficha kile hasa kilichozungumzwa.
 
".......na Kuacha mambo ambayo yanaweza kugawa wananchi"

Iwe Kwa sehemu unayotoka, dini, asili yako n.k
 
Mkutano huu na waandishi wa habari ulifanyika mara baada ya viongozi wa TEC kukutana na kufanya mazungumzo na Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Lengo la Kukutana na Rais: Padre Dkt. Charles Kitima alibainisha kuwa mkutano huo ulitokana na ombi la maaskofu wenyewe.

Walitaka kuwasilisha mtazamo wao kuhusu hali ya kisiasa nchini na kushauri njia bora ya kuiponya nchi kufuatia matukio ya chaguzi zilizopita.

Andiko la Kurasa Nne: Maaskofu walimkabidhi Rais andiko rasmi lenye kurasa nne.

Andiko hili linasisitiza umuhimu wa kusimamia ukweli, msamaha, na haki ili kujenga mustakabali mwema wa Taifa na kuimarisha mshikamano.

Amani na Maadili:
Viongozi hao walijadili kwa kina nafasi ya madhehebu na viongozi wa dini katika kulea jamii yenye maadili mema, uwajibikaji, amani, na kuacha mambo yanayoweza kuwagawa wananchi

View: https://www.instagram.com/reel/Db_YkqCjBIA/?igsh=MWZ6NGhzamcwM3BibQ==

Aliyeua ili atamalaki, akisimama anapigwa na maaskofu, akikaa anapigwa na mapepo ya nabii Tito
 
Naona Serikali iliamua kuficha kile hasa kilichozungumzwa.
Halaf viongozi wa sasa ni waongo waongo sana : wahuni wahuni

Yani nchi unasikitisha sana ,

Hawaongozi nchi kama watu wenye utimamu wa akili : wengi walijua Jamaa waliitwa Ikulu …. I was wondering Bi Samia kuwa na maturity kama hiyo Kaanza lini

And why would they deceive watu kuwa TEC waliitwa Ikulu

Was it necessary kudanganya Umma

Yani Ikulu inadanganya mradi ku deceive watu na kuonesha kuwa maridhiano ya kipuuzi yanaenda vema
Elimu humfanya mtu kuwa straight forward
Nchi ipo chini ya wahuni na vibaka wanaovaa tai na hijab na majoha

What a shame
 
Back
Top Bottom