Safi sana TEC
Bahati nzuri au mbaya; wamemwachia kibarua asichoweza kukitimiza.Wametema ukweli bila kupepesa
Ngoja nimalize kuchangia kwenye mada yako mkuu 'Mshana'; sitachangia zaidi ya hapa.Wametema ukweli bila kupepesa
Mkuu Tate usimalize maneno. Hapo kuna namna sio bure!. Tutajua tu!CHAWA wanafikiri Maaskofu wameenda kumlamba miguu kama wafanyavyo wao! Wanafikiri ni rahisi tu kwa mtu mwenye akili timamu kufanya hivyo.
SanaKuna jambo moja tu ambalo, labda, linahitaji kuangaliwa kwa umakini zaidi.
Ni muhimu kukumbuka wazi kwamba mhalifu hastahili kabisa kupewa hadhi au heshima kubwa kama ya 'Mheshimiwa Rais', hata kama ni kwa kumvisha kilemba tu kama ishara.
Wamekengeuka sana hapo.
Pigeni kelele zooote mnazotaka, ila msiguse 2030. *Ni kama yaleyale ya bandari na DPW yaliyomfanya atangaze yeye kuwa "chura kiziwi".Ngoja nimalize kuchangia kwenye mada yako mkuu 'Mshana'; sitachangia zaidi ya hapa.
Unasema "wametema ukweli"?
Samia ukweli anautaka wa nini?
Walitaka kumpa ushauri August 2025 kabla ya uchaguzi Oktoba; akagoma kuonana nao kwa sababu alishaamua ni lazima aendelee kukaa madarakani kwa njia yoyote iwayo. Na kweli Oktoba ilipofika ikawa yaliyokuwa lakini adhma yake ya kuendelea kuwa madarakani ikatimia.
Ninachosema hapa ni kwamba hakuna jambo lolote linaloweza kusemwa sasa au litasemwa baadae litakalomwondoa katika lengo lake hilo la kufika 2030.
Hili la ukweli na takataka nyinginezo hayawezi kamwe kumsumbua akili yake.
Pigeni kelele zooote mnazotaka, ila msiguse 2030. Ni kama yaleyale ya bandari na DPW yaliyomfanya atangaze yeye kuwa "chura kiziwi".
Sasa sijui kama nimeeleweka vizuri..
Hapana kuna mtihani mkubwa Sana kaachiwa hapo.. Sikiliza soma between the linesTEC wameishiwa pumzi,walimfuga chatu na sasa amewameza wenyewe!
Walifuga katiba ya Nyerere ya chama kimoja,na kwakua katiba ile ilikua na maslahi Yao kupitia waumini wao kina Nyerere,mkapa!hawakuona umuhimu wa mabadiliko wakidhani mambo yatakua kama yalivyo Hadi ccm walipowazidi nguvu kipindi cha kikwete na sasa hawawezi tena kuwa na meno dhidi ya ccm mtandao ambayo wanatumia katiba ile Ile waliyoilea ipasavyo kwa matakwa Yao wenye ccm mtandao!!
Operation zao zote zimeshindwa Hadi sasa!!wanategemea huruma ya watz plus kujitoa mhanga kwa watz ili kudhibiti Dola waliyoipoteza na sanctions za kimataifa!!
TEC HAINA MENO KWA SASA!!!IMEZIDIWA NA WANAMTANDAO!!
WAOMBE MUNGU TU!HAKUNA NAMNA!
Kuna uwezekano mkubwa aliamuru watanganyika wauawe kwa kulipa kisasi cha 2001 kwa makosa yao CCM wenyewe.Pia alifurahi mnoo."Kutakana msamaha" ajabu alipokuwa kwao Zanziba akaongea ule utoto wake!.
Hii nchi kwa sasa inasukuma siku tu, inaweza kuwa na Rais 2030.
Kuna uwezekano mkubwa aliamuru watanganyika wauawe kwa kulipa kisasi cha 2001 kwa makosa yao wenyewe CCM.Pia alifurahi mnoo.
Mbn wkt wa ukoloni mlikua machawa lkn mnajitoa fahamuPhD za ukweli haziwezi kua chawaaa
Mbn hawakusimamia kudai uhuru mkawa vubaraka wa mkoloni 😌TEC ndio chombo pekee kinachoaminiwa na watanganyika wengi wenye imani zote.
Ni taasisi yenye nguvu kuliko zote Tanzania.
Mkutano huu na waandishi wa habari ulifanyika mara baada ya viongozi wa TEC kukutana na kufanya mazungumzo na Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Lengo la Kukutana na Rais: Padre Dkt. Charles Kitima alibainisha kuwa mkutano huo ulitokana na ombi la maaskofu wenyewe.
Walitaka kuwasilisha mtazamo wao kuhusu hali ya kisiasa nchini na kushauri njia bora ya kuiponya nchi kufuatia matukio ya chaguzi zilizopita.
Andiko la Kurasa Nne: Maaskofu walimkabidhi Rais andiko rasmi lenye kurasa nne.
Andiko hili linasisitiza umuhimu wa kusimamia ukweli, msamaha, na haki ili kujenga mustakabali mwema wa Taifa na kuimarisha mshikamano.
Amani na Maadili:
Viongozi hao walijadili kwa kina nafasi ya madhehebu na viongozi wa dini katika kulea jamii yenye maadili mema, uwajibikaji, amani, na kuacha mambo yanayoweza kuwagawa wananchi
View: https://www.instagram.com/reel/Db_YkqCjBIA/?igsh=MWZ6NGhzamcwM3BibQ==
Walikuwa vibaraka kwenye sekta ipi labda?? 🤔 🤔Mbn hawakusimamia kudai uhuru mkawa vubaraka wa mkoloni 😌
Unawakumbuka waliohumiza biashara ya utumwa ikomeshwe wakati wa ukoloni?Unawakumbuka waliowatoa ujinga na kuwafundisha ustaarabu wazee wetu na kujitambua enzi hizo kwa kuwapa shule,vyuo n.k?Mbn wkt wa ukoloni mlikua machawa lkn mnajitoa fahamu