Msumari wa TEC: Mambo Muhimu Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Hivi Karibuni wa TEC (Agosti 2026)

Msumari wa TEC: Mambo Muhimu Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Hivi Karibuni wa TEC (Agosti 2026)

Nyie kubaz acha ujinga na umbumbu wenu kwenye charter za kudai uhuru zote zilikuwa kwa lugha ya mama, na kubaz wengi wa wakati ule walijua tu kuimba hao waliopitia shule za TEC ndio walioleta Uhuru nchi hii na ndio hata walikuwa wanafanya mazungumzo na hao wakoloni kwa lugha ya mama, akina bibi Titi kazi yao ilikuwa kuwapikia chai na maandazi wajumbe.
Fala weeh.. Eti walikua wanafanya mazungumzo wakina nani hao
Mlikua vibaraka wakubwa nyiee mlitishwa ukijihusisha na siasa unafutwa kazi.. Kama Nyerere ilivyomtokea akafutwa kazi Tabora boys akaja mjini hapa akakutana na kina Alhaji Abdulwahid Sykes na kina shekhe Ramia shekhe Takadir
Humu chama cha TAA kikiwa kimeanzishwa Kima wenzio walikua ndani yani mkoloni akupe fursa ya elimu na ajira halafu ujidai kudai uhuru walikua na uthubutu huo?
 
Umeona sasa ulivyo kuwa huna akili kichwani, huwezi kutoa komenti bila kutoa lugha ya maudhi au ndo madrasa mnajifunza kutukana watu?? ...??


Aliye sema Nyerere aliazisha chama cha TAA ni nani ??
Unafiki tuu umewajaa
 
ewe ni zaidi ya bangi zinazosumbua kichwa chako. Hata unachoandika hukijui!
Weeh upo humu humu bara jeusi hata uwe na digrii za yule mwanamke mchungaji asiyeweza kufua boksa za mumewe..
Utabaki hapa hapa kama Kima wenzio
 
Mimi sijakuzuia wewe kuwa hivyo unavyojihisi mwenyewe.
Na ukweli ni kwamba maandishi yako yanadhihirisha hivyo.

Usinihusishe mimi na mambo yasiyonihusu.
Asa unataka kubisha weeh sio Kima?
Yanii uwe bora kwa ngozi nyeupe?
Weeh ni Kima utake usitake kwa ngozi nyeupe weeh sawa na kima tuu hata usome kiasi gani? . . Fala weeh
 
Back
Top Bottom