TEC wametumia Hekima na Busara! Maana aliyeshika upanga kwenye mpini huwezi kushindana naye kwa kushika makali.
Rais ndiye mwenye Mamlaka na ndiye ameshika Upanga.
Na Rais kama atatumia busara ya kuheshimu na kutekeleza maoni ya TEC Taifa linaweza kupona!
Wasiwasi wangu lile Joka la Msoga linaweza kumshauri vinginevyo,harafu akaendelea kufanya shingo ngumu.
Ingawa kwa akili yangu ndogo alichosema VP kuhusu Katiba harafu akaanza kumtembelea mzee Sinde,JK na sasa kwa mstaafu mmoja wa SMZ,sijui kama atawazungukia na Wazee wengine,ni kama kuna jambo linaenda kuleta matumaini.