Msumari wa TEC: Mambo Muhimu Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Hivi Karibuni wa TEC (Agosti 2026)

Bado wenye akili chache kichwani, watakujibu hapa kuwa KITIMA hampendi sa100. 😊😊😊
Ampende kwani mama'ke mzazi bhana
Kwani hapo kasema je
Si kasema wao maaskofu ndo wameomba wakutane na Rais?
 
Walikuwa vibaraka kwenye sekta ipi labda?? 🤔 🤔
Wengi waligoma kujitoa kwny ajira ya mkoloni sababu ukiwa mwana harakati unafukuzwa kazi
Rejea na Mwl Nyerere alipofukuzwa kazi baada ya kuanza harakati za kudai uhuru
Akaja Dar akapokelewa na mzee Abdulwahid Sykes.. Akaenda kuishi kwa shekhe shamte magomeni.. Hapo kipindi hawa washakua watu wazima baada ya kukosa elimu kutoka kwa mkoloni kwa sharti mpk uwe mgalatia..
Hapo ndo ikawa chanzo kwa wazee wengi na vijana kuanza vugu vugu la kudai uhuru
Mtoto wa kiislam aliyekua anaweza kupata elimu labda utoke kwny ukoo wa machifu tuu
Ilikua vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Acha porojo zako za marufuku ya utumwa
Tuje kwny harakati za kudai uhuru mlikua wa wapi
Na sababu ya vugu vugu la kudai uhuru lilitokana na waislam hilo lipo wazi walikua wakibaguliwa kielimu huwezi soma mtoto wa kiislam bila kubadili dini...
Weeh unataka kuleta porojo gani?
Marufuku ya utumwa ilipigwa baada ya uvumbuzi wa mashine mbl mbl za utendaji kazi
Kwhy unataka kusema utumwa wote na biashara yote ya utumwa ilifanywa na mwarabu si ndio?
Na wala sijakuuliza mwarabu kafanya nini au mzungu
Nimekuuliza kuhusu hawa Kima wenzetu walikua wapi na harakati za kudai uhuru?
Sababu weeh Kima tu kama mie kwa mtu mweupe awe mzungu au mchina au mwarabu weeh Kima tuu
Umeamdika kwa pupa na jazba bila kutumia akili ambazo sijui kama kweli unazo.Unakataa nini halafu unakubali nini?Tueleze ni akina nani walikomesha biashara ya utumwa?Tueleze,mbali ya makanisa(mapadre/reverends)ni akina nani walitoa elimu ya kujitambua/darasani kwa wazee wetu?Usisahau kutukumbusha,kwamba hao waislamu waliobadili dini(naamini waliigiza ukristu)walienda kupewa elimu bora wapi na watoa elimu hiyo walikuwa akina nani?
Unapoeleza kuhusu waislamu kupigania Uhuru unamaanisha nini?Au unaeleza kuhusu walivyounda vigenge vya kujifungia ndani majumbani wakinywa chai huku wakiulalamikia ukoloni bila kuwa na mbinu,maarifa,uongozi unaoeleweka hadi walipoomba miongozo kwa wenye uelewa?
 
Kweli weeh ni Kima kuna Kima yyt Africa alipiga marufuku utumwa au Tanganyika?.. Utapiga vipi marufuku ya utumwa wkt weeh ndo bidhaa?
Pili wkt wa utumwa kulikua hakuna harakati ya kimaa yyt kupinga utumwa utanzia wp?
Weeh kima jaribu kutofautisha vpnd, kipindi cha utumwa na kipindi cha ukoloni plus vugu vugu la ukoloni
Wagalatia walipata fursa za elimu na ajira kipindi cha ukoloni hilo lipo wazi
Sasa nukuulize wewe Kima swali utafanya vp harakati za ukoloni wkt upo chini ya dhehebu lililokupa fursa ya elimu? .. Na marufuku ya utumwa duniani ilipigwa na mwingereza ambaye ndo alikua mbabe wa dunia
Rejea na mfano wa mwl Nyerere alipofukuzwa kazi baada ya kuanza harakati za kudai uhuru wazee wenu waliogopa
Nyerere akaja Dar akapokelewa na mzee Abdulwahid Sykes wkt huo akiwa kijana akiwa na baadhi ya mashekhe akaenda kuishi magomeni kwa shekhe shamte..
Sasa harakati ipi ambayo kanisa ililifanya hapa kwa makima?
Cha ajabu unaleta mada ya utumwa.. Nimekuuliza utumwa kwani au ndo biashara ya utumwa ilifanywa na mwarabu tuu duniani si ndio?
 
Huna ujualo zaidi ya kukaririshwa vihadithi vya uongo na vya kijinga.Fanya hima ukaoge umpikie kitumbua mmeo.
 
Mbn wkt wa ukoloni mlikua machawa lkn mnajitoa fahamu
Polee sanaa mkuu. Nadhani unamaanisha hata sasa tunapaswa mvumilia mkoloni ccm.

Kwamba ikitokea ukaingiliwa kinyume na maumbile ki bahatimbaya, wakati wotee itabidi tuu ukubali kuingiliwa?
 
Wengi waligoma kujitoa kwny ajira ya mkoloni sababu ukiwa mwana harakati unafukuzwa kazi
Rejea na Mwl Nyerere alipofukuzwa kazi baada ya kuanza harakati za kudai uhuru
Akaja Dar akapokelewa na mzee Abdulwahid Sykes.. Akaenda kuishi kwa shekhe shamte magomeni.. Hapo kipindi hawa washakua watu wazima baada ya kukosa elimu kutoka kwa mkoloni kwa sharti mpk uwe mgalatia..
Hapo ndo ikawa chanzo kwa wazee wengi na vijana kuanza vugu vugu la kudai uhuru
Mtoto wa kiislam aliyekua anaweza kupata elimu labda utoke kwny ukoo wa machifu tuu
Ilikua vigezo na masharti kuzingatiwa
Kwa Nini waislamu hawakuanzisha shule zao?
 
Mkutano huu na waandishi wa habari ulifanyika mara baada ya viongozi wa TEC kukutana na kufanya mazungumzo na Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Lengo la Kukutana na Rais: Padre Dkt. Charles Kitima alibainisha kuwa mkutano huo ulitokana na ombi la maaskofu wenyewe.

Walitaka kuwasilisha mtazamo wao kuhusu hali ya kisiasa nchini na kushauri njia bora ya kuiponya nchi kufuatia matukio ya chaguzi zilizopita.

Andiko la Kurasa Nne: Maaskofu walimkabidhi Rais andiko rasmi lenye kurasa nne.

Andiko hili linasisitiza umuhimu wa kusimamia ukweli, msamaha, na haki ili kujenga mustakabali mwema wa Taifa na kuimarisha mshikamano.

Amani na Maadili:
Viongozi hao walijadili kwa kina nafasi ya madhehebu na viongozi wa dini katika kulea jamii yenye maadili mema, uwajibikaji, amani, na kuacha mambo yanayoweza kuwagawa wananchi

View: https://www.instagram.com/reel/Db_YkqCjBIA/?igsh=MWZ6NGhzamcwM3BibQ==

Vipi kuhusu lile fungu walilokuwa wanapewa na serikali waliliongelea?
 
Wengi waligoma kujitoa kwny ajira ya mkoloni sababu ukiwa mwana harakati unafukuzwa kazi
Rejea na Mwl Nyerere alipofukuzwa kazi baada ya kuanza harakati za kudai uhuru
Akaja Dar akapokelewa na mzee Abdulwahid Sykes.. Akaenda kuishi kwa shekhe shamte magomeni.. Hapo kipindi hawa washakua watu wazima baada ya kukosa elimu kutoka kwa mkoloni kwa sharti mpk uwe mgalatia..
Hapo ndo ikawa chanzo kwa wazee wengi na vijana kuanza vugu vugu la kudai uhuru
Mtoto wa kiislam aliyekua anaweza kupata elimu labda utoke kwny ukoo wa machifu tuu
Ilikua vigezo na masharti kuzingatiwa
We jamaa ni muongo sana,

Nyerere aliacha kazi ya shule, kwa sababu hakutaka shughuli zake ziendelee kuleta matatizo kwa wamisionari ambao waliokuwa wamemwajiri na si vinginevyo, hayo masuala ya kusema alifukuzwa huo ni uongo.

Kabla ya ukoloni, kulikuwa tayari kuna na elimu ya Kiislamu kupitia madrasa, hivyo waislamu walikuwa busy kusoma elimu ya madrasa kuliko elimu ya dunia.

Huyu mzee shekhe shamte unaijua historia yake vizuri au umeamua tu kumuandika tu kwa kujiburudisha kwenye jukwaa??
 
Back
Top Bottom