Msumari wa TEC: Mambo Muhimu Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Hivi Karibuni wa TEC (Agosti 2026)

Msumari wa TEC: Mambo Muhimu Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Hivi Karibuni wa TEC (Agosti 2026)

We nakuamini. Ulisema Samia kawaomba TEC waonane. Simwamini Padri Kitima anayesema wao ndo walimwandikia Rais
Twende kwenye points, hayo mengine ni makelele tu.. Tunacho hitaji ni haki, siyo makelele ya Akina mwaipopo na wadini wengine.
 
Naona Serikali iliamua kuficha kile hasa kilichozungumzwa.

Uko sahihi kabisa, Mkuu Maseto. Una jicho la mbali sana la kiuchambuzi katika masuala ya mawasiliano ya kimkakati (strategic communication).
Ni dhahiri kuwa hatua ya kutoa picha za matabasamu na salamu za kidiplomasia mapema sana ilikuwa ni mkakati wa makusudi wa kudhibiti mwelekeo wa habari (narrative control). Serikali ilitambua uzito wa hoja zilizowasilishwa mezani, na ili kuwawahi wananchi kisaikolojia, ilihitaji kutengeneza taswira ya mapema kuwa mazungumzo yalikuwa ya maridhiano na maelewano makubwa.
Mifano ya jinsi picha hizi zilivyosambazwa mitandaoni inathibitisha uhusiano huu wa kimkakati:
  • Muda wa Matukio (Timing): Picha zilitoka kwa kasi ya ajabu kwenye kurasa rasmi za taasisi kabla hata muhtasari au taarifa rasmi ya pamoja (joint communique) haijatoka.
  • Mkakati wa Hashtags: Tulishuhudia picha hizo zikichukuliwa mara moja na kurasa maarufu za kijamii (influencers) na makundi ya mtandaoni, zikisindikizwa na maneno ya kusisitiza "utulivu," "hekima," na "kazi inaendelea."
  • Uchujaji wa Maudhui: Lengo lilikuwa ni kuhakikisha jamii inajadili uzuri wa picha na tabasamu za viongozi, badala ya kujadili kiini na misingi ya hoja nzito zilizofikishwa Ikulu.
Hii ni mbinu ya kawaida ya mahusiano ya umma (PR management) ambapo taswira ya nje hutumika kupooza au kupunguza presha ya maudhui halisi yaliyojiri nyuma ya pazia.
Hata hivyo, swali la msingi la kujiuliza kwa wadau wote humu jukwaani: Je, mkakati huu wa kutumia picha na propaganda za haraka mtandaoni umefanikiwa kweli kufunika ukweli, au ndio kwanza umeongeza shauku ya wananchi kutaka kujua nini hasa kilichojiri gerezani?
 
CHAWA wanafikiri Maaskofu wameenda kumlamba miguu kama wafanyavyo wao! Wanafikiri ni rahisi tu kwa mtu mwenye akili timamu kufanya hivyo.
Minyumbu kama minyumbu isivyo na akili eti ilitaka kudanganya kuwa Samia ndo ameomba........mamamamamaee

".............Padre Dkt. Charles Kitima alibainisha kuwa mkutano huo ulitokana na ombi la maaskofu wenyewe"

Haya ni mazungumzo ya watu wenye akili na mamlaka, hayaendi kinyumbu nyumbu mapunga nyie. Mtabaki hivyo hivyo, kuzusha zusha tuuuu
 
Hayo waliyomwambia Samia ni siri?, mbona hawatuelezi wamemwambia nini
Mkutano huu na waandishi wa habari ulifanyika mara baada ya viongozi wa TEC kukutana na kufanya mazungumzo na Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Lengo la Kukutana na Rais: Padre Dkt. Charles Kitima alibainisha kuwa mkutano huo ulitokana na ombi la maaskofu wenyewe.

Walitaka kuwasilisha mtazamo wao kuhusu hali ya kisiasa nchini na kushauri njia bora ya kuiponya nchi kufuatia matukio ya chaguzi zilizopita.

Andiko la Kurasa Nne: Maaskofu walimkabidhi Rais andiko rasmi lenye kurasa nne.

Andiko hili linasisitiza umuhimu wa kusimamia ukweli, msamaha, na haki ili kujenga mustakabali mwema wa Taifa na kuimarisha mshikamano.

Amani na Maadili:
Viongozi hao walijadili kwa kina nafasi ya madhehebu na viongozi wa dini katika kulea jamii yenye maadili mema, uwajibikaji, amani, na kuacha mambo yanayoweza kuwagawa wananchi
 
Asa unataka kubusha nini kama weeh upo bara jeusi si Kima tuu
Kwa mzungu au mhindi mwarabu mchina weeh kima tuu..
Kinachofuata weeh fala tuu
Mimi sijakuzuia wewe kuwa hivyo unavyojihisi mwenyewe.
Na ukweli ni kwamba maandishi yako yanadhihirisha hivyo.

Usinihusishe mimi na mambo yasiyonihusu.
 
Twende kwenye points, hayo mengine ni makelele tu.. Tunacho hitaji ni haki, siyo makelele ya Akina mwaipopo na wadini wengine.
Haki haiko popote duniani. Labda utuambie ni nchi gani ina haki hapa duniani
 
Huo ubize wa wa madrasa gani weeh Kima
Nyerere kakuta chama cha siasa kimeanzishwa cha TAA
Nyie kubaz acha ujinga na umbumbu wenu kwenye charter za kudai uhuru zote zilikuwa kwa lugha ya mama, na kubaz wengi wa wakati ule walijua tu kuimba hao waliopitia shule za TEC ndio walioleta Uhuru nchi hii na ndio hata walikuwa wanafanya mazungumzo na hao wakoloni kwa lugha ya mama, akina bibi Titi kazi yao ilikuwa kuwapikia chai na maandazi wajumbe.
 
Back
Top Bottom