https://www.facebook.com/PhD za ukweli haziwezi kua chawaaa
CHAWA wanafikiri Maaskofu wameenda kumlamba miguu kama wafanyavyo wao! Wanafikiri ni rahisi tu kwa mtu mwenye akili timamu kufanya hivyo.
Naona Serikali iliamua kuficha kile hasa kilichozungumzwa.Mkutano huu na waandishi wa habari ulifanyika mara baada ya viongozi wa TEC kukutana na kufanya mazungumzo na Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Lengo la Kukutana na Rais: Padre Dkt. Charles Kitima alibainisha kuwa mkutano huo ulitokana na ombi la maaskofu wenyewe.
Walitaka kuwasilisha mtazamo wao kuhusu hali ya kisiasa nchini na kushauri njia bora ya kuiponya nchi kufuatia matukio ya chaguzi zilizopita.
Andiko la Kurasa Nne: Maaskofu walimkabidhi Rais andiko rasmi lenye kurasa nne.
Andiko hili linasisitiza umuhimu wa kusimamia ukweli, msamaha, na haki ili kujenga mustakabali mwema wa Taifa na kuimarisha mshikamano.
Amani na Maadili:
Viongozi hao walijadili kwa kina nafasi ya madhehebu na viongozi wa dini katika kulea jamii yenye maadili mema, uwajibikaji, amani, na kuacha mambo yanayoweza kuwagawa wananchi
View: https://www.instagram.com/reel/Db_YkqCjBIA/?igsh=MWZ6NGhzamcwM3BibQ==
Walijuzungusha zungusha tu.Naona Serikali iliamua kuficha kile hasa kilichozungumzwa.
Nilipo sikia mahubiri ya Askf Minde pale Moshi nikajua tayari limeisha hiloWametema ukweli bila kupepesa
".......na Kuacha mambo ambayo yanaweza kugawa wananchi"Mkutano huu na waandishi wa habari ulifanyika mara baada ya viongozi wa TEC kukutana na kufanya mazungumzo na Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Lengo la Kukutana na Rais: Padre Dkt. Charles Kitima alibainisha kuwa mkutano huo ulitokana na ombi la maaskofu wenyewe.
Walitaka kuwasilisha mtazamo wao kuhusu hali ya kisiasa nchini na kushauri njia bora ya kuiponya nchi kufuatia matukio ya chaguzi zilizopita.
Andiko la Kurasa Nne: Maaskofu walimkabidhi Rais andiko rasmi lenye kurasa nne.
Andiko hili linasisitiza umuhimu wa kusimamia ukweli, msamaha, na haki ili kujenga mustakabali mwema wa Taifa na kuimarisha mshikamano.
Amani na Maadili:
Viongozi hao walijadili kwa kina nafasi ya madhehebu na viongozi wa dini katika kulea jamii yenye maadili mema, uwajibikaji, amani, na kuacha mambo yanayoweza kuwagawa wananchi
View: https://www.instagram.com/reel/Db_YkqCjBIA/?igsh=MWZ6NGhzamcwM3BibQ==
Aliyeua ili atamalaki, akisimama anapigwa na maaskofu, akikaa anapigwa na mapepo ya nabii TitoMkutano huu na waandishi wa habari ulifanyika mara baada ya viongozi wa TEC kukutana na kufanya mazungumzo na Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Lengo la Kukutana na Rais: Padre Dkt. Charles Kitima alibainisha kuwa mkutano huo ulitokana na ombi la maaskofu wenyewe.
Walitaka kuwasilisha mtazamo wao kuhusu hali ya kisiasa nchini na kushauri njia bora ya kuiponya nchi kufuatia matukio ya chaguzi zilizopita.
Andiko la Kurasa Nne: Maaskofu walimkabidhi Rais andiko rasmi lenye kurasa nne.
Andiko hili linasisitiza umuhimu wa kusimamia ukweli, msamaha, na haki ili kujenga mustakabali mwema wa Taifa na kuimarisha mshikamano.
Amani na Maadili:
Viongozi hao walijadili kwa kina nafasi ya madhehebu na viongozi wa dini katika kulea jamii yenye maadili mema, uwajibikaji, amani, na kuacha mambo yanayoweza kuwagawa wananchi
View: https://www.instagram.com/reel/Db_YkqCjBIA/?igsh=MWZ6NGhzamcwM3BibQ==
Maaskofu ni wanyenyekevu sanaLengo la Kukutana na Rais: Padre Dkt. Charles Kitima alibainisha kuwa mkutano huo ulitokana na ombi la maaskofu wenyewe.
Miaka michache nyuma ilikuwemo JWTz lakini sasa haliaminiki tenaTaasisi isiyo na bei ya kununulika nafkiri so far imebaki CDM na TEC tu.
Halaf viongozi wa sasa ni waongo waongo sana : wahuni wahuniNaona Serikali iliamua kuficha kile hasa kilichozungumzwa.