Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

Fake news, wewe ni nani wa kuniambia sina akili? Umewahi kunipeleka shule? Umewahi kunipa lecture? Stupid pumpkin head, wewe unazo hizo akili na unazitumia vipi? Umefika na ukashuhudia kilichotokea? Unawaamini vipi hao au sababu wamepublish kwenye social media na page zao za uchochoroni?, nitaamini pale serikali na vyombo vinavyoaminika watakapotangaza apart from that siamini huo nachukulia km ni uzushi km uzushi mwingine,
Kwakweli umeonyesha kwanini CCM inaendelea kututawa

YOUR A VERY SPECIAL STUPID GUY
 
Juzi tulienda kutoa mahari karibu na chikongo tukakutana na mageti kama 4 hivi,tukaanza kuhojiwa tangu saa 4 mpaka saa 7 hatukuwa na barua ya mtendaji yenye picha bali tulikuwa na vitambulisho vingine tu wakaanza kutuhoji maswali yasiyo na kichwa wala miguu,,,, mara kama vipi tugawane hiyo mahari na blah blah kibao mwishoni wakaomba buku 5 wakatuachia tukapita mageti yote,ndipo nikawaza kwahali hii kazi ipo
Huwa wanakaa mitaa ya ndumbwe vijji vya katikati hapo....Ni ukaguzi wa aina ya weiziiiii ha haa
 
Wewe mwenye akili zimekupa utajiri kiasi gani? Umezifanyia nini hizo akili ulizonazo zaidi ya kubishana na mimi unaesema sina akili au ndio mwisho wa uwezo wako wa kufikiri? Alafu unabishana na mimi huku unasema sina akili hivi unadhani nani anaeonekana hana akili? Jipimie ila usipimane na mimi, JF kumbe kumejaa WAJINGA hivi
Jifunze kuandika kwa paragraph
 
Yes kwa usalama wa Taifa, hivyo ndivyo ilivyo sio kila kinachoihusu nchi basi kinaenda kua public announcement, ila kuna watu hawajui hilo
Usalama upi wa Taifa wa kuwaonea wapinzani stupid
 
Unamuaibisha mandonga kwenye hio Avatar yako, kwa jinsi gani ulivyo mjinga kupitiliza, uliwadharau wanaoilinda nchi yako?
Hakuna aliye wadharau ukweli lazima usemwe

Vijana mliotoka jkt mnakuwaga mnajiona mna moto sana kumbe zero
 
Hakuna aliye wadharau ukweli lazima usemwe

Vijana mliotoka jkt mnakuwaga mnajiona mna moto sana kumbe zero
Basi punguza dharau eleza kwa hoja km wenzio, sio kwa matusi eleza changamoto toa suluhisho, bila hivyo utaishia kuonekana km mtoto mjinga tu
 
Back
Top Bottom