Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

Hawa ISIS wa msumbuiji wanatumia uchawi 100% kama wale wa congo mkienda kizembe mnakufa wote. RIP my anko 2017 alikuwa mwanajeshi wa mpakani alichinjwa na hao jamaa wa msumbiji kwenye kijiji cha mpundanyali pembezoni mwa mpaka wa mtwara na msumbiji kabla hajafa alikuwa akinipa stori kupitia whatsapp mambo wanayokutana nayo huko... kule wakikukuta njiani wanakuamrisha utamke mstari mmoja wa quran unaoukumbuka ili kuthibitisha kama kweli wewe ni muislam ukishindwa kuthibitisha walau neno moja la quran wanakata kichwa chako... ila ukithibitisha unakuwa mwenzao wanakuunganisha kwenye kundi lao nawe unakuwa mpiganaji wa kiislamu kupitia taasisi ya ISIS.
 
Kwa ulimwengu wa sasa hivi kufanya Patrol za adui wa kivita bila drones ni kujiingiza kwenye mdomo wa Chatu.

Huwezi kuwinda adui kwa darubini katika ulimwengu wa kisasa.
Unaweza kutumia darubini za infrared (thermal image) zinazosense joto tofauti na mazingira, hivyo hata kama adui kajichimbia ardhini ataonekana tu
 
Unaweza kutumia darubini za infrared (thermal image) zinazosense joto tofauti na mazingira, hivyo hata kama adui kajichimbia ardhini ataonekana tu
Inamaana jeshi letu halina hata hizo darubini!!? Au zipo ila ndio wanapigia pic za status!!?
 
GUerilla war ni ya kingese sana aisee!
 
Wajomba wamekimbia?
Kuna kipindi tuliambiwa vijana wa Kagame wamewamaliza magaidi na kila kitu ni shwali! Sasa nini Tena.
Hakuna sehem haina ugaif ila kuna kuudhoofisha tu na sio kuwamaliza ,media zetu za mchongo ndo zilidai hivyo ila Rwanda walisema adui karudishwa nyuma kweny strategic parts of fight
 
Hii ndio dini ya haki wanayoitete humu wafia dini.

#MaendeleoHayanaChama
 
GUerilla war ni ya kingese sana aisee!
Ndiio ilyo waondoa Wareno Msumbiji na Selikali ya Walowezi ya Ian Smith wa Rodhesia Zmbabwe ya leo.

Lakini hawa Magaidi tutawachapa tu tunajua mbinu za Bush War huenda kuliko kushinda Nchi nyingi za SADC.
 
Bajeti ya ulinzi na usalama AFRICA huku sio kipaumbele ndo maana tukipata majanga Tunafunga na kuomba Mungu ili aingilie kati
 
Who is commander in chief to allow that? The real dude is in grave
 
Mwanangu upo vizuri sana sema nini sisi tupo tayari tununue wakina Halima Mdee kuliko amoured vehicle na silaha za kileo. JUZI nimeona zile demo za silaha kule mpakani mwa msumbiji na Tz nimegundua amani yetu inatulemaza na kutusahaulisha sana. KENYA walikuwa wabovu kuliko sisi tangu wapate misukosuko ya alshabab wameweka bajeti wanajitahidi hata kwenye bajeti ya kununua vifaa vya jeshi vya ki leo
 
Hawajapigwa ambush unauhakika..au kwakuwa hii ndiyo habari pekee uliyoipata...ambush ni ambush haijalishi vifaa ulivyonavyo..hiyo gari y Rwanda unayoisifia ni boxi nyanya mbele ya ambush
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…