T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Hapo sijaponda ila akili zinatofautiana kuelewa. Wewe kama umeona naponda ndio level ya akili yako.We bwana wee pamoja na kuponda kooote huko basi useme tu ukweli pia kuwa mkiwekwa ambush kupona ni asilimia 00.005 umeshindia kuponda weee hujui hata speknaz wakitiwa kwenye ambush na SAr tu kutoka mbinde?
Hakuna decimal inayotanguliwa na two zeros. Hiyo decimal yako ilibidi iwe 0.005 na sio 00.005, sitaki kujua hiyo probability umeipata kwa study gani.
Haiitwi speknaz kama ulivyotaja inaitwa Spetnaz. Hiyo SAR unayotaja ni kwa close in combat kama secondary weapon, gaidi ni nadra sana kutumia bastola. Hakuna ambush ya kutumia bastola, so mfano wako ni irrelevant. Kwanza hao Spetnaz wasingekuwa na Toyota hardtop.
By the way sijazungumzia chochote kuhusu survivability ya ambush ambayo unanilazimisha. Umeona umuhimu wake ukataja hiyo 00.005