Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

Propaganda za kijinga tu, kwanini wamesamnazi hizo picha, ili iweje?
 
Nafikiri vituo vya kimataifa Kama BBC ,Aljazeera wangereporti hizi habari.Moods nashauri iwe tetesi tu mpaka tutakapo pata taarifa rasimi.
 
Awamu hii jeshi letu limekuwa dhaifu sana, inasikitisha sana
 
[emoji1787][emoji1787] umewahi humu!!? Hawa jamaa sio wanapambana na yule jamaa yako anaelinda mali za total[emoji848] [emoji1787][emoji1787] east africa haitotulia mpaka yule jamaa ang'ooke amini hivyo, japo ww unamuombea kheri ila ni jipu
 
Umepiga kwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…