Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza mngeuona huo mkataba unasemaje ndio mtoe tathmini zenu. !! Jamaa alisema pale tulishapigwa !! Kama sio kweli onyesheni mkataba hadharani watu wajue kilichomo. !!Ngumu kuamini lakini hata mimi nimeanza kuamini gas ingemaliza tatizo la umeme Tanzania, na lile bwana naona itakuwa hasara tupu, tumepewa zawadi ya gas lakini hata kujisaidia tuu kununua mitambo tuwashe umeme wetu tumeshindwa, ngumu sana kumwelewa mtu mweusi ni laana au ni kweli tuna low IQ?
Hapo sasa !Acha uongo.
Gesi ni Mali yetu? Mkataba unasemaje?
Kwanini kile kiwanja cha kujenga LNG kilikuwa kinamilikiwa na mtu binafsi? Mbaazi ikikosa maua huwa ina tabia ya kusingizia jua.Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kuelekea ulaya wakikamata fursa iliyofunguka
Kama Tanzania hatujaamua kuacha Siasa kwenye Utendaji tutazidi kuwa wa mwisho kwenye maendeleo hadi mwisho wa duniaView attachment 2415622
Sasa hata kama mnapewa mrabaha asilimia 0.00000000000000001, uendeleze tu mazungumzo au sio?Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kuelekea ulaya wakikamata fursa iliyofunguka
Kama Tanzania hatujaamua kuacha Siasa kwenye Utendaji tutazidi kuwa wa mwisho kwenye maendeleo hadi mwisho wa duniaView attachment 2415622
Mbona Botswana imewezekana.Mwendazake aliamini kwenye 50/50 Kama alivyodanganya kule kwenye dhahabu! Yaani mtu awekeze mtaji wa trillion 60 wewe hata mia hujaweka alafu kwenye faida useme tulingane? Hata Urussi kwenye Gesi yao hawana hii kitu
Tuonyeshe huo mkataba wa BotswanaMbona Botswana imewezekana.
Acha upotoshaji.
Mbinafsi ni yule aliyesitisha mzungumzo kwenye uwekezaji wa gesi pale alipoingia madarakani kwa chuki na husda zake tuKwanini kile kiwanja cha kujenga LNG kilikuwa kinamilikiwa na mtu binafsi? Mbaazi ikikosa maua huwa ina tabia ya kusingizia jua.
Watanzania tunaona fahari kulaumu na kusingizia mambo ambayo wala hayana ukweli. Yenye ukweli tunayalinda ili yaendelee kulinda maslahi yetu.
Tatizo letu kubwa ni ubinafsi uliopitiliza. Kila mtu mbinafsi. Siamini mtu yoyote yule sasa hivi. We have just been confused and used, for the benefit of the few
Kwa hiyo wewe kuteseka kwa Watanzania huoni ubaya wowote!!!???Kwani kuna ubaya gani?
Kwani mateso ya watu wa msumbiji yameisha kwa sababu ya kusafirisha gesi?Kwa hiyo wewe kuteseka kwa Watanzania huoni ubaya wowote!!!???…
Mawazo ya mtu maskini ni kufikiria kila tajiri anamwibia. Ukimwuliza, wanakuibia nini, hajui na hawawezi kukuambia.issue sio kusafirisha, hata sisi tunasafirisha madini. issue ni je kama taifa la msumbij linafaidika na hiyo gesi? au wanafaidika wanasisa tu na wazungu. sisi watz ni hovyo sana baads ya kujiuliza maswali ya msingi wa hizo project tunaangalia tu matokeo. wewe unajua kweye hiyo project wazungu wamewapiga msumbiji kwa kiasi gani. mpaka sasa asilimia zaidi ya 60 ya umeme wetu ni wa gesi. ushajiuliza kwanini tunashindwa kuitumia hiyo gesi hata hapa ndani tu tupate umeme wa uhakika? badala yake tunaambiwa mabwa yamekauka.
Kuna mtu mmoja aliniambia kwamba huwezi kupiga hatua ya maendeleo bila kubadili dominant system(os) na akatoa mifano kadhaa.Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kuelekea ulaya wakikamata fursa iliyofunguka
Kama Tanzania hatujaamua kuacha Siasa kwenye Utendaji tutazidi kuwa wa mwisho kwenye maendeleo hadi mwisho wa duniaView attachment 2415622
Kwani gesi yetu inaenda wapi? Haitutoshi ?Sasa ni wakati makampuni ya Tz yaanze nunua hapo karibu ili tuuziwe gesi bei ndogo
Chuki haikufanyi wewe na watu hawa waliopo kuwa safi na watakatifu. This self-pity has been created over time by one team after another.Mbinafsi ni yule aliyesitisha mzungumzo kwenye uwekezaji wa gesi pale alipoingia madarakani kwa chuki na husda zake tu
Inawezekana unachosema na nia sio kumlaumu JPM, point ni kwamba hatuna umeme huku tuna trillions za gas ambazo zingeweza kutuwashia umeme mpaka wa ziada for the next 100 years na zaidi, kingine tunatumia trillion sita kujenga umeme wa maji ambao unategemea mvua na kuharibu mazingira (sio lazima ukubaliane na mimi kwa hili), tuna kila kitu lakini bado tunaishi kwenye umaskini na migawo kila siku kwa ajiri ya maamuzi yetu wenyewe (serikali ya CCM lazima ilaumiwe ndio waliotufikisha hapa)Kwanza mngeuona huo mkataba unasemaje ndio mtoe tathmini zenu. !! Jamaa alisema pale tulishapigwa !! Kama sio kweli onyesheni mkataba hadharani watu wajue kilichomo. !!
Total Energies is the operator of the Mozambique LNG Project, with a 26.5 per cent stake. Its partners in the consortium are Mitsui of Japan, with 20 per cent, Mozambique's own National Hydrocarbon Company (ENH) with 15 percent, PRTTEP of Thailand with 8.5 per cent, and three Indian companies, ONGC Videsh Rovuma Limited, Beas Rovuma Energy Mozambique Limited, BPRL Ventures Mozambique, with 10 per cent each.
BPRL Ventures Bharat Gas Resources Ltd. is a wholly owned subsidiary of the Indian company Bharat Petroleum Corporation Ltd.
Source: allafrica.com
Hadi watakapo jitambua.Hitimisho: CCM itaendelea kuwatesa Watanzania miaka mingi mbele
Sasa wewe uliye smart kichwani,ina kuwaje unashangaa eti gesi itoke msumbiji hadi ulaya?!?kwa bomba?wakati sasa kuna mpango wa ujenzi wa bomba la gesi toka NIGERIA hadi SPAIN lenye urefu wa km 4000!!!halafu mbona lipo lenye urefu wenye zaidi ya km 8000?!!sasa unashangaa nini la kutoka Msumbiji?!!We mweupe Sana kichwani,gesi itoke msumbiji Hadi ulaya kwa Bomba!?..ndege gani ilisafirisha gesi!?..picha umewekewa bado inauliza tu
We mweupe Sana kichwani,gesi itoke msumbiji Hadi ulaya kwa Bomba!?..ndege gani ilisafirisha gesi!?..picha umewekewa bado inauliza t