Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Mwisho mtasema kivuli chako ni basha linakufuata. Mtakufa kwa wasiwasi kwa kuwaza mambo ya uongo. Watu wanatoa misaada ya taulo za kike ila kwenye miswaki na dawa ya meno imekua mambo ya hormone. Kijiji kina meno ya njano kinahamasiswa kupiga mswaki kuwekwa afya ya kinywa salama wengine mnageuza.
Tuache upotoshaji chaaaaa
Tuache upotoshaji chaaaaa