Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Tatizo linaanzia hata kwa Serikali yenyewe inakubali kusaidiwa misaada mingine ya kipuuzi kabisa. Matokeo yake hata jamii inaona ni sawa tu kupokea kila aina ya msaada. Imagine Serikali inakubali kusaidiwa matundu ya vyoo, kupewa vishikwambi, nk nk. Airport unakutana na security check mashine ati China Aid 🤔. Kwahiyo kabla ya kujadili kama ina nini au nini, je Serikali haina muongozo aina ya misaada ambayo inaweza kupokea?Hili nalo linafikirisha sana hivi wamefanya utafiti wakagundua hawana dawa majumbani mwao?