Mswaki na Dawa zinazotolewa mashuleni ni salama?

Mswaki na Dawa zinazotolewa mashuleni ni salama?

Bure kabisa wewe
Subiri uchunguz ufanywe tujue ukweli
Hata nyie Bure kabisa mnapikwaga tu hamjawahi kuiva ndio maana mnachukuliwa kila kitu mnabaki kutoa mada za dawa za miswaki na huku wenzenu wanamaliza kila kitu kwetu, gesi, mafuta,wanyama , madini. Wajinga tu kama machifu wenu wanaletewa kioo wanaona ni sawa
 
kwa utafiti gani anaoweza akaufanya mtanzania na kubaini ayo madudu, TBS wenyewe janja janja, TFDA ni wapitishaji tu.

tutaangamia
 
Sawa... Hata Kama tunashida.... Hivi tuna shida ya dawa za miswaki?

Tunashida ya kufunguliwa miradi ya ufugaji wa kuku?? Kweli? Ndio nahitaji yetu ya msingi??
Hizi misaada ni midogo sanaa, dawa za meno na miswaki si jambo linalotushinda. Tunaendekeza tuu kupewa vya bure.
Bado tunaishi chini ya utawala wa awa jamaa, tunafeli sana
 
kwa utafiti gani anaoweza akaufanya mtanzania na kubaini ayo madudu, TBS wenyewe janja janja, TFDA ni wapitishaji tu.

tutaangamia
Ila wakiona watu wanauliza sana maswali watatoa majibu ya ukweli. Shida ikiwa ni misaada haipingwi, ila ingekua ni biashara ya mtanzania wangeshazuia zamani
 
Watoto wetu awa inabidi tuwalinde sana
Kwa Colgate acheni ujinga humo majumbani mwenu watoto wanatumika kingono , wanapewa manyanyaso makali na ndugu nawafanyakazi wengine wanalazimisha wasex nao . Halafu hujui hata madereva washule kama hawatumii kingono au kwa ubaya wowote bila ya ridhaa Yao au hata mahali pengine nyie mnawaza Colgate ya mkimzidi akadhurika unashangaa mtoa mada ni mmoja wapo wawale wasiokuwa na elimu ya kujua kipi sahihi na atofautishe.
 
Hii nchi ni heri ingefutwa tu. Ukiwapa misaada lazima wahoji labda uwasaidie tende za kufungulia ramadhani jioni.
Hivi wangeamua kuwafanyia umafia mngebaki salama?
Ikumbukwe mpaka net mnasaidiwa
 
Hizi misaada ni midogo sanaa, dawa za meno na miswaki si jambo linalotushinda. Tunaendekeza tuu kupewa vya bure.
Bado tunaishi chini ya utawala wa awa jamaa, tunafeli sana
Ila Colgate sio utumwa ni wanatoa msaada kama mashirika mengine , mbona hamsemi , always , bonite, nakampuni mbali mbali wakujitolea mashuleni iwe colgate
 
Kwa Colgate acheni ujinga humo majumbani mwenu watoto wanatumika kingono , wanapewa manyanyaso makali na ndugu nawafanyakazi wengine wanalazimisha wasex nao . Halafu hujui hata madereva washule kama hawatumii kingono au kwa ubaya wowote bila ya ridhaa Yao au hata mahali pengine nyie mnawaza Colgate ya mkimzidi akadhurika unashangaa mtoa mada ni mmoja wapo wawale wasiokuwa na elimu ya kujua kipi sahihi na atofautishe.
Mtoa mada ana ufahamu mkubwa ndio maana ameipost hii issue.
Hayo maswala uliyotaja kwani wapi panasema yanaungwa mkono? Hayo maswala si yanakemewa kila siku na watu wanahukumiwa? Ukiwa unaulizia huo unyanyasaji huwezi kuulizia na mengine?
 
Ila Colgate sio utumwa ni wanatoa msaada kama mashirika mengine , mbona hamsemi , always , bonite, nakampuni mbali mbali wakujitolea mashuleni iwe colgate
Maswali yanakuepo pale penye ukakasi mkuu
 
Walianza na Neti wakafaulu.., wameanza dawa za meno na miswaki then finally nguo za ndani na unga wa lishe.,
 
Hii nchi ni heri ingefutwa tu. Ukiwapa misaada lazima wahoji labda uwasaidie tende za kufungulia ramadhani jioni.
Hivi wangeamua kuwafanyia umafia mngebaki salama?
Ikumbukwe mpaka net mnasaidiwa
Wanatufanyia umafia sana ndo maana wanatuharibia mpaka watoto wetu kwa utamaduni wao. Mbona umafia mwingi sana
 
Dhambi humfanya mtu kuwa mwoga kila wakati.
Screenshot_20230331-121551.jpg
 
Sasa we kwa akili ya kawaida dawa ya meno itaweza destabilize hormone?
Ndio mkuu, effects za fluoride mojawapo ni hio. Watoto wanaezakosa uwezo wa kuzalisha au kureduce fertility levels
 
Ile kampeni imezama mpaka vijijini ndani sijui wanatafuta nini kule wakati miswaki ya miti na mkaa ingali inatumika huko
 
Back
Top Bottom