Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shule zipiii??? Hebu zitajeeeHaya mambo nimeyasikia kuna shule mkoani Ruvuma wanafunzi wanagawiwa hizo dawa za meno na miswaki zikidaiwa kuchochea vitendo vya ushoga,hii vita ni kubwa sijui kama serikali itaiweza
Pia mtazamo wangu hauwezi kuwa sawa na wako, na shule zetu huwa hazitoi taarifa kwa wazazi wala kutoa option kwa mtoto anaetaka wao wanagawa kwa wote na hii ni kutokana na order wanazopewa wakuu wa shule.Ndio maana binafsi nimefundisha watoto na walimu wanajua wanangu ni exempted kny hayo mavitu ya kupewa.Unachozungumzia ni kitu tofauti.
Dawa wanazotumia watoto za kiafya au chanjo ni dawa universal zinatumiwa. Hapa tunazungumzia dawa ya meno ambayo wapo wazaz wanamudu. Tunachoquestion ni madhara inayodaiwa yatatokea
Wabongo mnawaza ushoga na ngono tu.Wanaanz kuwapa hizo za kawaida then baadae mnapew za kishogaa
Sawa mkuuPia mtazamo wangu hauwezi kuwa sawa na wako, na shule zetu huwa hazitoi taarifa kwa wazazi wala kutoa option kwa mtoto anaetaka wao wanagawa kwa wote na hii ni kutokana na order wanazopewa wakuu wa shule.Ndio maana binafsi nimefundisha watoto na walimu wanajua wanangu ni exempted kny hayo mavitu ya kupewa.
Ni sahihi kabisaFundisha mwanao kutopokea dawa za minyoo,vitamins ama chochote shuleni zaidi ya Elimu na chakula.
Imekuwa misaada ya kulazimishana sasa kwa baadhi ya vitu..... Hivi hatuwezagi kusema HAPANA??Inabid tuwe makini na hizi misaada
Kwasababu sisi ni maskini, na tunashida. Viongozi wanakosa jeuri ya kusema hapana. Ila inabidi wawe na misimamo, wakikubali jambo bas liwe na guarantee kua ni SalamaImekuwa misaada ya kulazimishana sasa kwa baadhi ya vitu..... Hivi hatuwezagi kusema HAPANA??
Sawa... Hata Kama tunashida.... Hivi tuna shida ya dawa za miswaki?Kwasababu sisi ni maskini, na tunashida. Viongozi wanakosa jeuri ya kusema hapana. Ila inabidi wawe na misimamo, wakikubali jambo bas liwe na guarantee kua ni Salama