Mswaki na Dawa zinazotolewa mashuleni ni salama?

Mswaki na Dawa zinazotolewa mashuleni ni salama?

Fundisha mwanao kutopokea dawa za minyoo,vitamins ama chochote shuleni zaidi ya Elimu na chakula.
Unachozungumzia ni kitu tofauti.
Dawa wanazotumia watoto za kiafya au chanjo ni dawa universal zinatumiwa. Hapa tunazungumzia dawa ya meno ambayo wapo wazaz wanamudu. Tunachoquestion ni madhara inayodaiwa yatatokea
 
Fundisha mwanao kutopokea dawa za minyoo,vitamins ama chochote shuleni zaidi ya Elimu na chakula.
Acheni kupotosha
Nyie watoto wenu wanasafiri kwa mabasi ya njano, maji safi nk msijilinganishe na asilimia 85% ya wanafunzi wanaosomea vijini na huku baadhi wamekalia mawe
Kimsingi Vijijini wanahitaji kila kitu, natamani hata wangepewa na sabuni
 
Ngoja mwanao atumie alaf akija kukosa nguv za kiume uanze kwenda maombi
Wewe hukutumia ndo mana una minyoo

Sio kila kitu mkatae
Basi msinywe na Folic acid mkiwa na mimba
 
Ndio kwa sababu hata km mm lazma nishtuke naona mtoto anakuja na dawa nyumbani

Pili mwisho dawa inatumika nyumbani alike mzazi sasa km humshirikishi hapo inakaaje
Misaada ya namna hii tatizo ikija haina discussion. Inakua na target ifike kwa wahusika bas
 
Haya mambo nimeyasikia kuna shule mkoani Ruvuma wanafunzi wanagawiwa hizo dawa za meno na miswaki zikidaiwa kuchochea vitendo vya ushoga,hii vita ni kubwa sijui kama serikali itaiweza
 
Haya mambo nimeyasikia kuna shule mkoani Ruvuma wanafunzi wanagawiwa hizo dawa za meno na miswaki zikidaiwa kuchochea vitendo vya ushoga,hii vita ni kubwa sijui kama serikali itaiweza
Inasemekana zinapunguza hormone za kiume mkuu. Inabid wafanye utafit upya
 
Back
Top Bottom