Mswaki na Dawa zinazotolewa mashuleni ni salama?

Mswaki na Dawa zinazotolewa mashuleni ni salama?

Hili nalo linafikirisha sana hivi wamefanya utafiti wakagundua hawana dawa majumbani mwao?
Tatizo linaanzia hata kwa Serikali yenyewe inakubali kusaidiwa misaada mingine ya kipuuzi kabisa. Matokeo yake hata jamii inaona ni sawa tu kupokea kila aina ya msaada. Imagine Serikali inakubali kusaidiwa matundu ya vyoo, kupewa vishikwambi, nk nk. Airport unakutana na security check mashine ati China Aid 🤔. Kwahiyo kabla ya kujadili kama ina nini au nini, je Serikali haina muongozo aina ya misaada ambayo inaweza kupokea?
 
Mkuu Wewe unazungumzia kuanzia utotoni, sijakukatalia lkn toka utotoni nilikua natumia recommended level ya fluoride. Hizo dawa unaambiwa zina excess fluoride ndo maana impact yake inatajwa upande wa fertility. Fanya research yako ujue uhalisia uliojificha
Umesikia au umeona kama zimeongezwa hiyo amount of Fluoride, tupe research yako chief. Nionyeshe nahao watoto walioharibika hayo meno kwanza maana kabla ya kufisha hormone na kuifanya imbalanced basi meno yatakuwa yameshaharibika vibaya sana. Basi tupe hicho kijiji na watu waliopata hayo matatizo. Pia nipe na box la colgate likionyesha hiyo amount of Fluoride iliyoongezwa.
 
Ndiyo maana nikakwambia, wewe siunataka kiwango😂😂😂, ni frequency x per amount ndio ujue quantity ujue uliyotumia tangu utotoni mpaka leo. Fluoride inaside effect ila ya kwanza ungeona meno yako yatakavyoleta changamoto nakuwa kama glass mwishowe kubanjuka kama utani. Pia jua karibia aina zote za dawa ya meno zina fluoride isipokuwa zipo kama za aina mbili ndio inatumia aina nyingine ya chemical ila effect ni similar na fluoride. Hivyo jua tangu utotoni umukunywa maji na kutumia dawa ya meno iliyo na Fluoride. Piga hizo hesabu sasa. Achaga hysteria bro! 😂😂😂 itakupa mental disorder.
Nawashangaa sana wabongo, hako ka dawa kamoja ndio kaharibu hormones. Hormones zinaharibiwa na vitu vingi ikiwemo ulaji mbovu, stress etc. Hawa mashoga waliozagaa walipewa hizo dawa?
 
Mkuu Wewe unazungumzia kuanzia utotoni, sijakukatalia lkn toka utotoni nilikua natumia recommended level ya fluoride. Hizo dawa unaambiwa zina excess fluoride ndo maana impact yake inatajwa upande wa fertility. Fanya research yako ujue uhalisia uliojificha
Boss, pia jua kuishiwa nguvu za kiume hakumfanyi mtu awe shoga yaani hata siku hii moja laasivyo wazee wengi wangekuwa mashoga. Hiyo ni tabia na ugumu wa maisha na mtu kushindwa kuyakabili matatizo ndiyo mtu huanza kujiingiza uko. Pia ni hulka, ndio maana mnaambiwa muwalee watoto wenu vizuri ili jamii isitawi achana na sijui nini wala nini. Halafu pinguzeni hizo mada zinakera, maana hayo matendo ni machukizo na haramu na unazidi kuyatangaza kwa kuyataja, mtoto mdogo au teenagers wakiingia humu wao watataka kuyajaribu waone. Hivyo ulishajua, tokomeza kwa vitendo sio kwakutangaza maana unapromote bila wewe kujua.
 
Haya mambo nimeyasikia kuna shule mkoani Ruvuma wanafunzi wanagawiwa hizo dawa za meno na miswaki zikidaiwa kuchochea vitendo vya ushoga,hii vita ni kubwa sijui kama serikali itaiweza
hivyo vitu havijaanza leo kutolewa kipindi tupo shule ya msingi miaka 1998 tulipewa sana hivyo vitu whitedent pamoja na blueband na mikate juice cola,dawa za kichocho nk.
Kama mna uchungu sana kataeni chanjo+vitamins kwa watoto wenu maana hizo chanjo zinatolewa na hao hao USA halafu muone kitakachowakuta watoto wenu
 
Kumbe ni kweli Mowwo aliongea kuhusu Colgate kutolewa na mashirika ya misaada na hizo dawa zinakitu sikujua ni mbaya jisomeeni wenyewe
 
Attachments

  • Screenshot_20230401-125735.png
    Screenshot_20230401-125735.png
    250.3 KB · Views: 11
Sorry ni kwelini mbaya sikuchunguza ulikuwa unamaanisha kivipi
 
Attachments

  • Screenshot_20230401-125735.png
    Screenshot_20230401-125735.png
    250.3 KB · Views: 10
Au ndo dawa za kuchochea mambo ya upinde?nasikia ukitumia hizo dawa kijambio kinawasha kama umepakwa mwendokasi..
 
Kwanza ni dharau kumpa mwanangu dawa ya meno!! Kwani me sina buku ya kununua hiyo dawa ya mswaki?

Wapenda slope mtatengeneza mashoga kupitia vitu vya bure
 
Ndio mkuu, effects za fluoride mojawapo ni hio. Watoto wanaezakosa uwezo wa kuzalisha au kureduce fertility levels
Tumetumia hayo madawa miaka zaidi ya 30
 
Tatizo linaanzia hata kwa Serikali yenyewe inakubali kusaidiwa misaada mingine ya kipuuzi kabisa. Matokeo yake hata jamii inaona ni sawa tu kupokea kila aina ya msaada. Imagine Serikali inakubali kusaidiwa matundu ya vyoo, kupewa vishikwambi, nk nk. Airport unakutana na security check mashine ati China Aid 🤔. Kwahiyo kabla ya kujadili kama ina nini au nini, je Serikali haina muongozo aina ya misaada ambayo inaweza kupokea?
Hii nchi inafeli mambo kibao
 
Kwanza ni dharau kumpa mwanangu dawa ya meno!! Kwani me sina buku ya kununua hiyo dawa ya mswaki?

Wapenda slope mtatengeneza mashoga kupitia vitu vya bure
Wao wanatoa tu izo dawa mkuu. Haijalish una uwezo wa kununua au huna
 
Back
Top Bottom