Sawa kuzurura tu mkuu ila soon tutaimba tenziHahaha nataka kuona mambo yanavyokuzwa
Utaliwa nyama weweMitaa ipi mingine ni hatari? Nimetia timu Arusha Kwa wiki moja from jiji la panyaroad nikaona nikatembee mitaa ya Ungalimited saa saba usiku nione machalii wana jipya gani....
Nikiwa nimetupia nguo nyeusi, buti la jeje na boshori huku Kila saa nikigusa gusa kiuno as if nina paja la kuku kumbe sina kitu!
Nimekuta machali kwenye vikundi wanavuta jani huku wakionesha wasiwasi jinsi ninavyodunda kukataa mitaa...
Nataka leo usiku niende mtaa hatari nikawaoneshe hawa wavuta bangi Mimi ni nani.
Nyie panyaroad wa dar nitarudi next week.
😂😂😂😂 sawa mkuu ila karibu mbinguni au Jehanamu kulingana na ulivyojiandaaNitanegotiate nao wakiniweka mtu kati!
Kwajiyo ulitaka wakufanye nini! Unauza 0712 au?Mitaa ipi mingine ni hatari? Nimetia timu Arusha Kwa wiki moja from jiji la panyaroad nikaona nikatembee mitaa ya Ungalimited saa saba usiku nione machalii wana jipya gani....
Nikiwa nimetupia nguo nyeusi, buti la jeje na boshori huku Kila saa nikigusa gusa kiuno as if nina paja la kuku kumbe sina kitu!
Nimekuta machali kwenye vikundi wanavuta jani huku wakionesha wasiwasi jinsi ninavyodunda kukataa mitaa...
Nataka leo usiku niende mtaa hatari nikawaoneshe hawa wavuta bangi Mimi ni nani.
Nyie panyaroad wa dar nitarudi next week.
Peleka Facebook.Mitaa ipi mingine ni hatari? Nimetia timu Arusha Kwa wiki moja from jiji la panyaroad nikaona nikatembee mitaa ya Ungalimited saa saba usiku nione machalii wana jipya gani....