Mtaa gani ni hatari kutembea usiku wa manane Arusha mjini? Maana jana nilizunguka Ungalimited usiku mnene na hamna kitu nimefanywa!!

Mtaa gani ni hatari kutembea usiku wa manane Arusha mjini? Maana jana nilizunguka Ungalimited usiku mnene na hamna kitu nimefanywa!!

Mitaa ipi mingine ni hatari? Nimetia timu Arusha Kwa wiki moja from jiji la panyaroad nikaona nikatembee mitaa ya Ungalimited saa saba usiku nione machalii wana jipya gani....

Nikiwa nimetupia nguo nyeusi, buti la jeje na boshori huku Kila saa nikigusa gusa kiuno as if nina paja la kuku kumbe sina kitu!

Nimekuta machali kwenye vikundi wanavuta jani huku wakionesha wasiwasi jinsi ninavyodunda kukataa mitaa...

Nataka leo usiku niende mtaa hatari nikawaoneshe hawa wavuta bangi Mimi ni nani.

Nyie panyaroad wa dar nitarudi next week.
Unawashwa, rudia tena.
 
arusha usiku hakuna maajabu, biashara zinafungwa saa nne kuanzia hiyo saa nne usafiri wa public hamna hata boda ni zakuvizia.


Hii ni arusha town nazungumzia 😂
arusha hovyo sana!
Mm nishakosaga Hiace ya Kwenda Njiro mapema tu Saa 2 Usiku!
 
Arusha ya mtandaoni na ile ya ukiweko ni vitu viwili tofaut kwkwel ingawa kila mji una wahun wake ,nenda kajaribu na Rock city Mwanza ,sie Dodoma ni watu wapole na wenye utu Dom hakuna uhuni
 
Keyboard warrior pita paru hapo ungalimited usiku
Kesho tufunge marurubali
 
Siku ukienda mbeya niambie mitaa gani ya hatari upite, nitakupa ushirikiano
Chuga wengi wao ni warembo tu
 
Crass,idiotic,stupidity.
Mimi nipo Atusha,na sasa hivi nitalala.
 
Back
Top Bottom