Mtaa gani ni hatari kutembea usiku wa manane Arusha mjini? Maana jana nilizunguka Ungalimited usiku mnene na hamna kitu nimefanywa!!

Unawashwa, rudia tena.
 
arusha usiku hakuna maajabu, biashara zinafungwa saa nne kuanzia hiyo saa nne usafiri wa public hamna hata boda ni zakuvizia.


Hii ni arusha town nazungumzia 😂
arusha hovyo sana!
Mm nishakosaga Hiace ya Kwenda Njiro mapema tu Saa 2 Usiku!
 
Arusha ya mtandaoni na ile ya ukiweko ni vitu viwili tofaut kwkwel ingawa kila mji una wahun wake ,nenda kajaribu na Rock city Mwanza ,sie Dodoma ni watu wapole na wenye utu Dom hakuna uhuni
 
Keyboard warrior pita paru hapo ungalimited usiku
Kesho tufunge marurubali
 
Siku ukienda mbeya niambie mitaa gani ya hatari upite, nitakupa ushirikiano
Chuga wengi wao ni warembo tu
 
Crass,idiotic,stupidity.
Mimi nipo Atusha,na sasa hivi nitalala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…