MTAALA MPYA WA ELIMU: Kilio kipya kwa watoto wa maskini na janga la kizazi chao chote!

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
11,550
Reaction score
40,697
Nimefanikiwa kuupitia muongozo wa mtaala mpya wa elimu hapa Tanzania ambao umezinduliwa hivi karibuni, na hichi ndicho nilichoweza kukiona kwa jicho la upeo.

1. Kwa mfumo wa elimu yetu kwa shule za serikali hauwezi kutekelezeka.

2. Hauna kipimo chochote MADHUBUTI cha kumpima mwanafunzi kila mara wakati akipewa elimu hiyo ama kupima ufanisi wa mwalimu wake wakati akitoa elimu hiyo mpaka mwanafunzi atakapohitimu miaka 10 ijayo.

3. Hakuna maandalizi yoyote kabambe yaliyofanywa kuweza kuubeba kikamilifu huu mtaala mpya. Kuanzia vyuo, waalimu, maafisa elimu, miundo mbinu, vitendea kazi na mazingira havikuandaliwa vyema kuweka kuubeba huu mfumo.

Kwa mtaala huu mpya, upo uwezekano kwa 100% kwa mtoto yoyote anayesoma shule ya serikali akaanza darasa la awali mpaka akahitimu kidato cha nne hajui kusoma, kuandika au kuhesabu. Kwanini? Mtaala umeweka wazi kabisa kuwa, mtoto yoyote anayeandikishwa shule hapaswi kufeli wala kurudia darasa (hata kama hajui chochote) mpaka atakapohitimu kidato cha nne!
 
Pale wanasiasa wanapojifanya ni wataalamu matokeo ndiyo haya

Huo mtaala mpya una usiasa mwingi sana

Hii elimu bure kweli kweli
 
Mwenzetu alisoma kwa kuunga UNGA Leo ni Rais wa nchi Fulani na ameomba akapewa PhD za Bure
 
Lengo la CCM ni kuwa na watu wajinga wengi waendelee kuichagua, watoto wao wanasoma nje kwenye shule nzuri
 
Attachments

  • IMG-20250208-WA0049.jpg
    IMG-20250208-WA0049.jpg
    149.7 KB · Views: 2
Nimefanikiwa kuupitia muongozo wa mtaala mpya wa elimu hapa Tanzania ambao umezinduliwa hivi karibuni, na hichi ndicho nilichoweza kukiona kwa jicho la upeo.

1. Kwa mfumo wa elimu yetu kwa shule za serikali hauwezi kutekelezeka.

2. Hauna kipimo chochote MADHUBUTI cha kumpima mwanafunzi kila mara wakati akipewa elimu hiyo ama kupima ufanisi wa mwalimu wake wakati akitoa elimu hiyo mpaka mwanafunzi atakapohitimu miaka 10 ijayo.

3. Hakuna maandalizi yoyote kabambe yaliyofanywa kuweza kuubeba kikamilifu huu mtaala mpya. Kuanzia vyuo, waalimu, maafisa elimu, miundo mbinu, vitendea kazi na mazingira havikuandaliwa vyema kuweka kuubeba huu mfumo.

Kwa mtaala huu mpya, upo uwezekano kwa 100% kwa mtoto yoyote anayesoma shule ya serikali akaanza darasa la awali mpaka akahitimu kidato cha nne hajui kusoma, kuandika au kuhesabu. Kwanini? Mtaala umeweka wazi kabisa kuwa, mtoto yoyote anayeandikishwa shule hapaswi kufeli wala kurudia darasa (hata kama hajui chochote) mpaka atakapohitimu kidato cha nne!
Umekurupuka kwa uchambuzi wa mchongo.
1. Mtaala upo vizuri
2. Maandalizi yapo vizuri
3. Walimu wapo vizuri
4. Wanafunzi wapo vizuri
5. Wazazi wapo vizuri.
Muda wa kuutathmini ni mpaka zao la mzunguko wa kwanza ukamilike tutajua ubora na udhaifu.
Palikuwa na upungufu wa Walimu, ndio hao mchakato wa ajira 8000 upo ukingoni.
Madarasa ya covid yapo tayari na shule zimeongezwa, vitabu na vifaa vipo. Acha roho mbaya kuwa na shukrani kwa serikali yako
 
Elimu imetoa product mbalimbali ambazo hazifanani kutokana natawala zinazo kuwepo kwa hicho kipind kwanzia misingi mpka vyuoni
 
Umekurupuka kwa uchambuzi wa mchongo.
1. Mtaala upo vizuri
2. Maandalizi yapo vizuri
3. Walimu wapo vizuri
4. Wanafunzi wapo vizuri
5. Wazazi wapo vizuri.
Muda wa kuutathmini ni mpaka zao la mzunguko wa kwanza ukamilike tutajua ubora na udhaifu.
Palikuwa na upungufu wa Walimu, ndio hao mchakato wa ajira 8000 upo ukingoni.
Madarasa ya covid yapo tayari na shule zimeongezwa, vitabu na vifaa vipo. Acha roho mbaya kuwa na shukrani kwa serikali yako
Wewe endelea na siasa zako, hizo blah blah za kusema kila kitu kiko vizuri waachie chawa CCM, lakini kaa ukijua wazi, huu mtaala mpya ni janga la 100% kwa mtoto wa maskini.

Yaani mtaala unazinduliwa february mwaka huu na hapo hapo unatakiwa uanze kutumika january mwaka huu, halafu unasema maandalizi yako vizuri? Kivipi?
 
Ubora wa mtaala hupimwa baada ya zao la mtaala kukamilika,ni bora tupate muda wa kui implement then tathmini ifanyike kuona kama inafaa kuendelea nayo,au kuibadili tena.
 
Kuna tafiti nilisoma inasema huu mtaala wa competence based curriculum ulianzishwa mwaka 2005 kwa shule za sekondari.

Sasa sielewi wanauanzisha mara mbili mbili au?
 
Umekurupuka kwa uchambuzi wa mchongo.
1. Mtaala upo vizuri
2. Maandalizi yapo vizuri
3. Walimu wapo vizuri
4. Wanafunzi wapo vizuri
5. Wazazi wapo vizuri.
Muda wa kuutathmini ni mpaka zao la mzunguko wa kwanza ukamilike tutajua ubora na udhaifu.
Palikuwa na upungufu wa Walimu, ndio hao mchakato wa ajira 8000 upo ukingoni.
Madarasa ya covid yapo tayari na shule zimeongezwa, vitabu na vifaa vipo. Acha roho mbaya kuwa na shukrani kwa serikali yako
Another symptom of academical masturbation! You've written shit! We are up here. We know than you do. Why should we wait for the next 10 years to realize our mistakes? Watoto wa matajiri washakwepa huu mfumo. Jiulize Kwa nn mtoto wa proffesa anaeupigia mtaala mpya chapuo,mwanae Yuko arusha anapiga mtaala wa Cambridge? Total shit! Mtabaki maskini wa chama ambao hamna chochote kazi kutetea ujinga kwenye vitu sensitive Kama elimu
 
Wanangu wataenda kufuta ujinga tu alafu nawaleta kwenye biashara maisha yao wayapatie hukuhuku
 
Nimefanikiwa kuupitia muongozo wa mtaala mpya wa elimu hapa Tanzania ambao umezinduliwa hivi karibuni, na hichi ndicho nilichoweza kukiona kwa jicho la upeo.

1. Kwa mfumo wa elimu yetu kwa shule za serikali hauwezi kutekelezeka.

2. Hauna kipimo chochote MADHUBUTI cha kumpima mwanafunzi kila mara wakati akipewa elimu hiyo ama kupima ufanisi wa mwalimu wake wakati akitoa elimu hiyo mpaka mwanafunzi atakapohitimu miaka 10 ijayo.

3. Hakuna maandalizi yoyote kabambe yaliyofanywa kuweza kuubeba kikamilifu huu mtaala mpya. Kuanzia vyuo, waalimu, maafisa elimu, miundo mbinu, vitendea kazi na mazingira havikuandaliwa vyema kuweka kuubeba huu mfumo.

Kwa mtaala huu mpya, upo uwezekano kwa 100% kwa mtoto yoyote anayesoma shule ya serikali akaanza darasa la awali mpaka akahitimu kidato cha nne hajui kusoma, kuandika au kuhesabu. Kwanini? Mtaala umeweka wazi kabisa kuwa, mtoto yoyote anayeandikishwa shule hapaswi kufeli wala kurudia darasa (hata kama hajui chochote) mpaka atakapohitimu kidato cha nne!
Umeongea kwa weledi sana. Jambo moja kama watz tunaweza kuona tatizo. Lkn tukiulizwa MBADALA wa nini tufanye au mtaala upi tufate, hatupati majibu.

Kwa mfano hata mtaala za amani tafiti zinaonyesha asilimia kubwa mtoto wa darasa la nne hana uwezo wa kusoma kitabu cha darasa la kwanza.

Naomba nikuulize. Mtaala gn unaufahamu ambao unatoa nafasi ya mwanafunzi au ufanisi wa mwalimu?
 
Nimefanikiwa kuupitia muongozo wa mtaala mpya wa elimu hapa Tanzania ambao umezinduliwa hivi karibuni, na hichi ndicho nilichoweza kukiona kwa jicho la upeo.

1. Kwa mfumo wa elimu yetu kwa shule za serikali hauwezi kutekelezeka.

2. Hauna kipimo chochote MADHUBUTI cha kumpima mwanafunzi kila mara wakati akipewa elimu hiyo ama kupima ufanisi wa mwalimu wake wakati akitoa elimu hiyo mpaka mwanafunzi atakapohitimu miaka 10 ijayo.

3. Hakuna maandalizi yoyote kabambe yaliyofanywa kuweza kuubeba kikamilifu huu mtaala mpya. Kuanzia vyuo, waalimu, maafisa elimu, miundo mbinu, vitendea kazi na mazingira havikuandaliwa vyema kuweka kuubeba huu mfumo.

Kwa mtaala huu mpya, upo uwezekano kwa 100% kwa mtoto yoyote anayesoma shule ya serikali akaanza darasa la awali mpaka akahitimu kidato cha nne hajui kusoma, kuandika au kuhesabu. Kwanini? Mtaala umeweka wazi kabisa kuwa, mtoto yoyote anayeandikishwa shule hapaswi kufeli wala kurudia darasa (hata kama hajui chochote) mpaka atakapohitimu kidato cha nne!
Ni wazi kuwa Watoto wa Walalahoi wanapelekwa Shule wakakue badala ya kuelimika.
 
Mkenda Tena Alilalamika Kuzuiwa Kumuona Rais
 
Back
Top Bottom