Let's be honest with time secondary schools zitalazumika kuwa na walimu graduates huo ndiyo ukweli.Jaribuni muone...
Walimu wa Diploma walio Sekondari ndio walimu tegemeo. Kuliko hizo degree fake.
Msijaribu kufanya kosa hili...
Sawa lakini lazima tuanzie somewhere, na pa kuanzia ni SERA na MITAALA then hayo mengine yatafuata mkuu...Elimu ya Tanzanua mbwembwe nyingi utekelezaji sifuri. Wanabadili mitaala lakini hakuna tija yoyote.
Unaanzisha mada za computer halafu shuleni hakuna umeme wala kompyuta zenyewe, huo si uhawayani.
Hakuna mahusiano yoyote kati ya diploma na elimu ya msingi, ni mbwemmbwe tu.
Elimu ya Tanzania inahitaji resource na rasilimali watu.
Mwalimu mmoja anafundisha masomo 4 na zaidi, hivi kuna tija hapo hata kama mwalimu ana digrii.
Si kweli . Sera ya Elimu 2014 ilisema Kiingereza na Kiswahili zitakuwa ni instructional languages sawia kutokana na Medium ya shule husika.Niliandika kuwa sera ya Elimu ya mwaka 2014 ilitamka kuwa Kiswahili kitakuwa lugha ya kufundishia nwa ngazi zote
Kwasababu ndio product zinazotoka chuo. Hilo haliwaondolei sifa na ubora walimu wa DiplomaLet's be honest with time secondary schools zitalazumika kuwa na walimu graduates huo ndiyo ukweli.
Uko sahihi kabisa, wakati niko SUA miaka ya nyuma, wale waliokuwa vipanga na kumaliza chuo na GPA kali ndiyo walikuwa wanabakishwa chuoni na baadae wanaendelea Masters na kuwa assistant lecturers. Shida ya huku ualimu wa primary na sekondari ni maslahi duni, kiasi kwamba sidhani kama wenye Div 1 na 2 watakubali kwenda ualimu.Ualimu
Sekta ya Afya
Wapelekwe waliofaulu tu, waliofeli watafute vitu vingine vya kufanya
Finland unakuta huku chini wanafundishwa na watu wenye elimu kubwa sana.Uko sahihi kabisa, wakati niko SUA miaka ya nyuma, wale waliokuwa vipanga na kumaliza chuo na GPA kali ndiyo walikuwa wanabakishwa chuoni na baadae wanaendelea Masters na kuwa assistant lecturers. Shida ya huku ualimu wa primary na sekondari ni maslahi duni, kiasi kwamba sidhani kama wenye Div 1 na 2 watakubali kwenda ualimu.
Si kweli . Sera ya Elimu 2014 ilisema Kiingereza na Kiswahili zitakuwa ni instructional languages sawia kutokana na Medium ya shule husika.
Alafu acha ubishi basi.. a
To make the story short...soma Sect 3.2.19 katika sera ya Elimu ya mwaka 2014 halafu pitia rasimu ya 2023 kisha niambie nimeandika roporopo.Mkuu ukiulizwa ulipoandika roporopo ulimaanisha nini na hiki ulichotuma kina maudhui gani unaweza kujenga hoja kweli?
Niliandika kuwa sera ya Elimu ya mwaka 2014 ilitamka kuwa Kiswahili kitakuwa lugha ya kufundishia nwa ngazi zote.
Nioneshee hiyo roporopo hapo.
Mkenda ni mkombozi wa elimu yetu km haya maono yatakubaliwa na kutekelezwa kikamilifu.Maelezo ni lazima wafike Form six Ili wawe na sifa ya kufundisha primary
Sasa upige kazi kwa ujuzi upii? Graduates wako kitaa chungumzima na hawana ajira, kijana wangu aliyemaliza UDOM kapiga private school kwa miaka 2 ndo akapata ajira kwenye NGO. Sasa why wachukue form 6 na waache graduate??Nenda kajionee.. Nani private ana shida na mivyeti yako. Piga kazi... Over.
Duhh we jamaa kiboko.. we ni muha!??π€£π€£π€£π€£πTo make the story short...soma Sect 3.2.19 katika sera ya Elimu ya mwaka 2014 halafu pitia rasimu ya 2023 kisha niambie nimeandika roporopo.
Kenya mkuuHii kitu wamecopy toka nchi gani au sisi ndio wakwanza.
Sikubaliani na wewe. Walimu wa diploma kwa o level wanafaa sana, na huwa wako deep kuliko hao wa University. Ufaulu Private huchangiwa na mambo mengi. Mfano huchagua wanafunzi wazuri tu huku sekondari za umma zikihamishiwa darasa la saba zima bila mchujo wa maana.Diploma kufundisha sekondary sio sahihi hana tofauti na form six
Ndio.maana shule nyingi za sekondary za serikali zina matokeo mabaya sana
Private walikojaa walimu wenye digrii kuko vizuri.mno
Maana degree za sasa hivi nyingi ni fake..hovyoo...Sasa why wachukue form 6 na waache graduate
Wazo lako liko sawa kabisa.Mkenda ni mkombozi wa elimu yetu km haya maono yatakubaliwa na kutekelezwa kikamilifu.
Ila kwa upande wa walimu ni changamoto kubwa sana hasa kwa masomo ya science and mathematics. Walimu wengi wa masomo haya ordinary level ni diploma holder,sasa uwachomoe wote shuleni ili waende kujiendeleza halafu nini kitakachobaki nyuma?
Ni mhimu sasa kuanza kusitisha kuajiri diploma holder kwa ngazi ya secondary ili wanaendelea na course vyuoni basi wachukue degree ili baadae mfumo una ji set wenyewe.
Hili jambo ni jema sana lisipochukuliwa kisiasa,lkn likifanyika kwa papara hapo kati kutakuwepo na uhaba mkubwa sana wa walimu wa masomo tajwa. Kila la kheri Mkenda,nili yasubiria muda mrefu sana mabadiliko unayoyalenga.
Mkuu una mambo ya ajabu sana sijui kama unafahamu.Duhh we jamaa kiboko.. we ni muha!??π€£π€£π€£π€£π
Soma hii...ππ
Soma wewe hapa..ππMkuu una mambo ya ajabu sana sijui kama unafahamu.
Soma hapo nilipokuelekeza suala la kabila la mtu halihusiki hapa kabisa.