Annie X6
JF-Expert Member
- Mar 16, 2023
- 704
- 1,331
Wajumbe nimepitia mtaala mpya nikakuta masomo 6 ya lazima moja wapo ni somo business studies ikielezwa kwamba ni mbadala wa commerce. Somo hili linaambatana na hesabu, historia ya Tanzania 🇹🇿 , Kiswahili, Kiingereza na Jiografia. Masomo 6 ya lazima, kama business studies(commerce) zamani ni lazima, book keeping inakuaje sio ya lazima.
Huu ndio msimgi wa swali langu. Mbaba mmoja lielezea hii kitu wakati flan mwaka jana, TBC hembu fafanua hapa,
Wanafunzi wa f1 2025 watatakiwa kusoma hayo masomo 6, mbona book keeping haipo? Kama ataiongeza book keeping kama opt fine kwa hiyo wasiosoma biashara watasoma matano pekee?