Mtaala mpya wa kidato cha kwanza 2025; Somo la Biashara ni lazima kwa wanafunzi wote nchini?

Mambo ya Physics with Chemistry.

Hivi kwanini Wizara ya Elimu isingekuwa inatenga Shule au mkoa fulani kuufanyia majaribio kabla ya kupitisha mitaala kwa nchi nzima.?

Wanacheza na fahu za wanafunzi. Watu watasoma miaka miwili then itatolewa na kuletwa mitaala mingine. Huu ni ubadhirifu wa mali za uma.
 
Masomo mengine ni ya ajabu.
Kupunguza tatizo la ajira kwanini wasiige Kenya mfumo wa CBC. Kuliko kumfundisha mtoto bookeeping n commerce kwanini wasifundishwe

Coding, Microsoft Excell, word, powerpoint na ufundi stai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…