Mtaalam, mwenye uwezo na mzoefu wa kuongea na maruhani anahitajika

Bainisha umri wa kiti? Nikufanyie kazi yako chapu kwa uzoefu nilionao kwa mambo hayo, sitaki hata mia yako. Maana naweza poteza kila kitu endapo nitapokea hata senti yako kwa kazi hiyo. Kwa kuwa unataka kufunuliwa siri za ulimwengu na milimwengu.
 
Marauhani ni majini yaliokoka yanaomwamini mungu. Kama walivyo baadhi ya binadamu wanaotii amri za mungu. Hadi wanafikia makamu yakutambulika kama ma nabii au ma walii. Ndio hali ya majini. Nadhani kwa ufupi umenielewa
[emoji102]heeee makubwa!
Hii mpya kwangu ndo nasikia leo
 
Pamoja na hayo,lkn alikuwa anatumika upande wa giza!
Zinaitwa roho za utambuzi!
Na alimpishanisha huyo dada na(mume) huyo mchungaji,walijua akiolewa nae na hayo maruhani,majini yangetoka! Nuru na giza havikai pamoja!
 
Kitakachofanyika hapo,huwa wanaangalia hayo majini yana uwezo gani,halafu wanayatuliza kwa kukuingizia yenye nguvu zaidi!
You need Jesus!Yesu atayatoa hayo atawekwa huru sio kuyasikiliza yanataka nn,ni ujinga mtupu!
Kitu in Yesu sio majini,maruhani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…