Mtaalam, mwenye uwezo na mzoefu wa kuongea na maruhani anahitajika

Mtaalam, mwenye uwezo na mzoefu wa kuongea na maruhani anahitajika

Utaalamu wa nini? Wakija na lugha zao za ajabu ajabu unawaambia mimi sielewi lugha yenu,kama mna ujumbe mnataka nimwambie kiti wenu niambieni kwa kiswahili nitamwambia ila hiyo lugha yenu siielewi,ataangea tu kiswahili.
Mi kuna mmoja nilikuwa nabishana naye akiongea kidosi mpaka mwenyewe akawa anabadilisha lugha
Nalog off
 
Nimekuja fasta nikajua kuongea na marubani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daah! kuna ndugu yake babu mmoja (R.I.P) alikuwa anaweza kufanya hiyo kazi aisee, Mzee yule hakuwahi tangu namjua sikuwahi kumuona anashikwa kiu ya kunywa maji( yaaani maji kwake ni kesi/sumu ilikuwa kwa mujibu wa maruhani yake,,,, na chakula alichokuwa anaweza kula ni ubwabwa pekeee). Yaani huyu Mzee alikuwa akifika sehemu anaweza kusema kuwa hapa leo hapako sawa au mambo yako vizuri. Kuna dada etu mmoja alikuwa anaweweseka sana mara maruhani yapande basi mzee anaongea nayo. Ikatokea kuwa kuna kajamaa kuwa ndiyo inatakiwa kamuoe huyo sista lakini Mzee akachungulia akasema huyu dogo Mungu amemuandaa kuwa Mchungaji na tunavyoongea Jamaa ni Mchungaji huko Rock City na Dada yeye amebakia kutanga tanga tuu na wanaume yaani.
Kwa kweli ungepata msaada kutoka kwa huyu Mzee maana ametafasiri ndoto &kuwatuliza sana akina KITI na jamii yao.
 
Marauhani ni majini yaliokoka yanaomwamini mungu. Kama walivyo baadhi ya binadamu wanaotii amri za mungu. Hadi wanafikia makamu yakutambulika kama ma nabii au ma walii. Ndio hali ya majini. Nadhani kwa ufupi umenielewa
Shukrani mkuu!
 
Rakims haeleweki kabisa nahitaji mwenye uwezo zaidi yake, kuna maswala niliwahi muuliza akapotezea kabisa hadi leo
Habari mkuu ni kipi uliwasiliana na mimi nikawa sieleweki maana ni jambo la kawaida kwangu kutokueleweka kwa watu wasioeleweka.
 
Back
Top Bottom