MzeeMpya
JF-Expert Member
- Dec 19, 2019
- 519
- 662
Marauhani ni majini yaliokoka yanaomwamini mungu. Kama walivyo baadhi ya binadamu wanaotii amri za mungu. Hadi wanafikia makamu yakutambulika kama ma nabii au ma walii. Ndio hali ya majini. Nadhani kwa ufupi umenielewaMaruhani ni nini?