Mtaalam: Sehemu za Siri za Mwanamke kuwa Baridi huchangia kwa 99% katika Kupunguza Nguvu za Kiume za Wanaume wengi

Mengine ni haya,,,,,unashangaa nguvu za kiume zimekata kumbe kuna sangoma anazituma huko zikaibe hela zijaze kibuyu cha chuma ulete la mtu
 
Law of elasticity pia inaapply kwa hawa ndugu zetu, nyapu huwa ni kama rubber material, ikitumika mara Kwa mara na mikuyenge tofautitofauti inaishia kufikia level ya Plastic deformation ile elasticity inaoondoka matokeo yake inabaki kama shimo tu ambalo watumiaji lazima wawe na the same size ya shimo au zaidi ya diameter ya hilo shimo.

Uhalisia wa uumbaji, nyapu ina tanuka na kusinyaa, recovery huwa ni muda mfupi sana, na huu muda ndio hufanya pia joto kuwepo muda mwingi na kuufanya mkunyenge kuwa active all the time, rate ya matumizi huongeza mtanuko na time ya recovery na ikiendelea ndio hufikia kwenye plasticity.

Leo Mwanaume anayepiga kimoja kwa Mwanamke A akashindwa kuendelea cha pili, ukimletea Mwanamke B utashangaa anauwezo wakupiga na mkunyenge ukasimama, lakini pia mwanaume huyuhuyu akikutana na nyapu ambayo ni fresh ( haitumika mara Kwa mara na recovery ni within second) anaweza kusex zaidi hata ya mara tatu.

Kiasili Mwanamke hajaumbwa kutumika tumika na mikuyenge tofauti tofauti matokeo yake ndio hizi shida zakuweka mpaka shabu na vitu vingine ili kumaintain elasticity na mnato.
 
Ngoja niende Japan, nasikia kuna mji kule hawana kabisa hili tatizo!
 
JamiiForums kila Member ameishi Ulaya, Marekani, Msomi na Tajiri sana hata kama hajaulizwa.

Ngoja nami ambaye sijatembea huko Majuu kama Wengine nami nitambie Vijiji vyangu vya Kyanka Nkunde na Ikupilipa Nkoba.
 
JamiiForums kila Member ameishi Ulaya, Marekani, Msomi na Tajiri sana hata kama hajaulizwa.

Ngoja nami ambaye sijatembea huko Majuu kama Wengine nami nitambie Vijiji vyangu vya Kyanka Nkunde na Ikupilipa Nkoba.
hahaha, sio kwamba najisifu ndugu na sina sababu hata ya kujidanganya nafsi yangu, nilijua naongea tu kawaida kitu halisi moyoni mwangu, nilikuwa naongea tu, nimeishi huko na kusoma huko ila sio tajiri ni middle class tu naendelea kupambana, Mungu mwema ipo siku tutafika. halafu nilikuwa sijui kama wewe ni wa kwetu Kutukuju au kukyela, masoko, rungwe n.k nimeishi pale kiwira pia, napo utasema najifanyisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…