Mtaalam wa kuwekeza kwenye kuku tayari ameshawaliza

Mtaalam wa kuwekeza kwenye kuku tayari ameshawaliza

Miaka ya nyuma ziliuzwa hisa za benki ya DCB, nikanunua za tshs 50k baada ya miaka kama mitano gawio 9k,nikajua hapa kuna ujinga sana kwenye maswala ya hisa, zilipotangazwa za voda, nikakaa pembeni nacheka tu, watu wakazivamia balaa, leo wanauza kwa hasara na bado!
Hisa inategemea ulinunua zipi, nilinunua za ttc na breweries pesa ilirudi baada ya magawio matatu tu, nikanunua hisa za Tanzania oxygen, majanga matupu bin hasara , toka hapo nikaona biashara ya hisa Ni kichaa

Sent
 
Tuongeze uelewa tununue hisa za makampuni makubwa duniani sio hizi za kibongo, pasua kichwa!
 
Niliwahi kupigwa kijinga sana, tena nilishawishiwa na vitoto vya Chuo... kwa jeuri na kuonesha utofauti basi nikajitupia 800k.

Niliambulia 40k tu, ambayo alinigawia aliyeniingiza kama nusu ya kamisheni yake.

Nilijifunza kwa ada kubwa, sitarudia tena ujinga.

Rise Africa, maanina zao!
Rise africa...Fall Americaaa!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Miaka ya nyuma ziliuzwa hisa za benki ya DCB, nikanunua za tshs 50k baada ya miaka kama mitano gawio 9k,nikajua hapa kuna ujinga sana kwenye maswala ya hisa, zilipotangazwa za voda, nikakaa pembeni nacheka tu, watu wakazivamia balaa, leo wanauza kwa hasara na bado!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aiseeee gawio 9k khaaaaa
 
Motivation Speaker
Karibuni Sana Kwenye Thread Ya Mafanikio
Wengi Walianza Ufugaji Wa Manyoya Mpaka Wakapata Kuku
Motivesheno spika siyo watu [emoji16][emoji16]
400026600645_109844.jpg
 
Hii inakupa tafsiri kwamba shida ya watanzania wengi si mitaji, bali hofu ya kuanzisha project zao binafsi na kuzikuza, wanaishia kudandia fake projects kwa matarajio ya kulinda mitaji huku wakivuna faida
Exactly.Hii ni 100% true.Na baada ya kulijua hilo nachukia kufanya mambo kwa: 1. influence ya watu
2. Influence ya pesa mbele.
Bali
Hata kama nitafanya project ambayo wengine wanafnya tayar nataka iwe kutokana na msimamo n matakwa binafsi
 
Bado fursa za watanzania kupigwa zipo na zitaendelea kuwepo mpk pale wengi watakapotambua kuwa hakuna pesa rahisi rahisi tu.
Kausha mkuu Unataka tukale wapi
 
Mi nakuja kuwapiga na fursa ya kanga moja ndembe ndebe ni sha andaa madem wakali!!Busu moja buku!!masaji 2000/=,denda 2000/=!kichwa kikiingia buku,mzamo nusu jogoo hapo hapo buku,zamisha deep hadi kwenye manyoya 2000/=!bao moja 5000/=!?WALE WAKWARE KAMA MIMI KARIBUNI!!!!MADEM NILIONAO WAKALI ILE MBAYA!!USIKU KUCHA 20000/=
Eti mzamo nusu[emoji15][emoji15]

Shwaini wewe!
 
Ni mapema sana kuwambia wametapeliwa kwa maana mda wa kupewa gawio bado.
Ukisha fika tu ndo watashangaa wanakutana na mabanda ya kuku tu bila mtu

Apo ndo utaona nyuzi za Mr kuku zinaongozana umu za kutapeliwa
Ukisikia video yake ya mwisho mr. Kuku ni kuwa akaunti zao zote zimekuwa frozen zinachunguzwa na serikali, hivi unadhani huo uchunguzi unaisha leo? na je kuna faida tena hapo ya kurudisha gawio!?
 
Back
Top Bottom