Mtaalam wa kuwekeza kwenye kuku tayari ameshawaliza

Mtaalam wa kuwekeza kwenye kuku tayari ameshawaliza

Ukisikia video yake ya mwisho mr. Kuku ni kuwa akaunti zao zote zimekuwa frozen zinachunguzwa na serikali, hivi unadhani huo uchunguzi unaisha leo? na je kuna faida tena hapo ya kurudisha gawio!?

Haaaa ndo wanasema ivo Mr kuku kuwa wamezi hold account, apo tayari wamesha liwa mapemaa
 
Niliwahi kupigwa kijinga sana, tena nilishawishiwa na vitoto vya Chuo... kwa jeuri na kuonesha utofauti basi nikajitupia 800k.

Niliambulia 40k tu, ambayo alinigawia aliyeniingiza kama nusu ya kamisheni yake.

Nilijifunza kwa ada kubwa, sitarudia tena ujinga.

Rise Africa, maanina zao!
[emoji23]
 
Joti lazima ale bindo hapa,maana yeye alishiriki mpaka kutengeneza tangazo
Kama ilikuwa kampuni imesajiliwa brela ina vibari yeye kateneneza tangazo inamhusu vipi sasa?
 
Tuongeze uelewa tununue hisa za makampuni makubwa duniani sio hizi za kibongo, pasua kichwa!
Na ujue kabisa unanunua hisa kwa malengo gani?Ya muda mfupi au muda mrefu.

Maana huko duniani kuna Ma co. Kama Ya kina Warren Buffet(Mmiliki wa Coca-cola na biashara nyingine nyingi) wao sera zao ni hakuna kulipa dividends(gawio)wakipata faida kwny biashara yao hizo pesa wanazi-retain na kuzirudisha kwny biashara zao so wewe kama mwana hisa faida yako unayopata ni hiza zako kuongezeka thamani na ukitaka kuuza hisa zako utapiga pesa kwny Capital gains.

Daah sijui hata kama nimeeleweka mazee.
 
Mkuu umenikumbusha shule ya msingi tulikuwa tunaweka nyoya la kanga katikati ya daftari tukiamini atakua ndege mzima! Kumbe zile akili kuna watu wamekua nazo!

Baba Batalingaya...

Na wewe uliweka nyoya la tausi katikati ya daftari na kuweka maganda ya kalamu iliyochongwa kama chakula cha nyoya la tausi?

Aahahahaaahahahahahaaaaaaa

Unasalimiwa na Lulu Mb.g. na wale mapacha wakiume ambao nywele zao zilikuwa lainiii.

Karibu umung'unye ubuyu wa Babu Issa.
 
Hivi ni nyoya la tausi?! Long time. Eti yale maganda ndio chakula cha tausi!
 
Hii inakupa tafsiri kwamba shida ya watanzania wengi si mitaji, bali hofu ya kuanzisha project zao binafsi na kuzikuza, wanaishia kudandia fake projects kwa matarajio ya kulinda mitaji huku wakivuna faida
Uko sahihi Sana bro
 
Hivi ni nyoya la tausi?! Long time. Eti yale maganda ndio chakula cha tausi!

Yeah ilikuwa nyoya la tausi.

ahahahahhahaaaa you can emagine, na nani alikiwa muanzilishi wa kusema maganda ya penseli iliyochongwa ndo chakula cha nyoya la Tausi..... Huyo mtu aliwaza nini.....

And the spirig goes for ages aahahahahhahaa

Kimbembe kinakuja siku umekusanya daftari likasahishwe huku umesahau kutoa tausi wako aahahahahahahahahaa.
 
😝😝😝😝huu uzi unachekesha, lakini pia unajifunza...
Mliotapeliwa Msiwe wa pweke,
Kwani si karibia kila mtu humu amelizwa zile 50Mil za kila kijiji?
Au labda zipo kwenye mzunguko, October ndio tunapata gawio.
 
Umesahau na ile Noah moja moja kwa kila mtanzania, bandarini pako busy kwa sasa, nadhani ndio wanazishusha kutoka kwenye makontena.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]huu uzi unachekesha, lakini pia unajifunza...
Mliotapeliwa Msiwe wa pweke,
Kwani si karibia kila mtu humu amelizwa zile 50Mil za kila kijiji?
Au labda zipo kwenye mzunguko, October ndio tunapata gawio.
 
Ilibaki kidogo tu niingie nilishafanya hadi study dodoma kuna watu walikuwa na viwanda vidogo vidogo, kabla sijaamua vizuri, bandiko la TFDA likatoka kuwa hayo mafuta si salama kwa afya hasa figo, mzigo ukaishia hapo!
Mamaeee wazee wabendera fuata upepo ..

Daah nawahurumia hao waliopata hasara
 
Niliwahi kupigwa kijinga sana, tena nilishawishiwa na vitoto vya Chuo... kwa jeuri na kuonesha utofauti basi nikajitupia 800k.

Niliambulia 40k tu, ambayo alinigawia aliyeniingiza kama nusu ya kamisheni yake.

Nilijifunza kwa ada kubwa, sitarudia tena ujinga.

Rise Africa, maanina zao!
Hahahad
 
Back
Top Bottom