Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Usinambie na ww ulipigwa.Umenikumbusha namaingo jamani 🤣🤣🤣🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinambie na ww ulipigwa.Umenikumbusha namaingo jamani 🤣🤣🤣🙌
Uko sahihi sana mkuu, hiyo hela ungefungua kibanda cha kuuza chipsi pengine ungekuwa mbali!Mkuu, hisa nimenunua 2017 lkn hadi leo hii sijawahi pokea gawio zaidi ya elfu 30 kwa mwaka. Hisa nilizonunua ni za shilingi milioni moja. You can imagine, kweli milioni inazalisha faida ya elfu ishirini tu kwa mwaka mzima? It means mtu aliyenunua hisa za milioni kumi aliambulia gawio la laki mbili tu! Ni ajabu sana. Gawio la kwanza nilipata kama elfu 12, gawio la pili nilipata elfu 20 hivi na gawio la tatu sikumbuki lkn ni hizo hizo za elfu 10 hadi 30 hapo.
Mimi nadhani hisa za voda zilikuwa overpriced ukilinganisha na uhalisia ndio maana profit per share imekuwa ndogo mno hadi unajiuliza Vodacom hv ni kweli voda wapo Tz kwa ajili ya kuzalisha elfu 20 kwenye milioni moja kwa mwaka mzima. This is ridiculous! Au pengine voda hawakuwa na haja ya kuongeza mtaji bali walilazimishwa kiasi kwamba mtaji umekuwa mkubwa kuliko faida so hau-perform inavotakiwa kwasababu kampuni inaweza kuwa ilikuwa imefika maxmum level of growth
Sasa mbona umetutaja hapo chini? Hayo hayakua makubaliano yetu we Kama tumekupiga kaa chin utulize mkia waache na wengine tuwabutue mpungaNiliwahi kupigwa kijinga sana, tena nilishawishiwa na vitoto vya Chuo... kwa jeuri na kuonesha utofauti basi nikajitupia 800k.
Niliambulia 40k tu, ambayo alinigawia aliyeniingiza kama nusu ya kamisheni yake.
Nilijifunza kwa ada kubwa, sitarudia tena ujinga.
Rise Africa, maanina zao!
Capital Gain si ni aina fulani ya kodi? I.e kwa mfano Tanzania ukiwa na nyumba umeinunua 60,000,000 ukaja ukaiuza 150,000,000 capital gain tax kama ni 10% wanachukua 90,000,000 x 0.10 = 9,000,000 unaenda kuilipia kama capital gainNa ujue kabisa unanunua hisa kwa malengo gani?Ya muda mfupi au muda mrefu.
Maana huko duniani kuna Ma co. Kama Ya kina Warren Buffet(Mmiliki wa Coca-cola na biashara nyingine nyingi) wao sera zao ni hakuna kulipa dividends(gawio)wakipata faida kwny biashara yao hizo pesa wanazi-retain na kuzirudisha kwny biashara zao so wewe kama mwana hisa faida yako unayopata ni hiza zako kuongezeka thamani na ukitaka kuuza hisa zako utapiga pesa kwny Capital gains.
Daah sijui hata kama nimeeleweka mazee.
D9 au?Mm pia nilishawahi kupigwa kwenye fursa fulan hivi hasara niliyoipata huwa sitak kuikumbuka wala kuisimulia
Capital Gain si ni aina fulani ya kodi? I.e kwa mfano Tanzania ukiwa na nyumba umeinunua 60,000,000 ukaja ukaiuza 150,000,000 capital gain tax kama ni 10% wanachukua 90,000,000 x 0.10 = 9,000,000 unaenda kuilipia kama capital gain
Asante MkuuUsijaribu ndugu, utalia kilio cha mbwa!
[emoji23][emoji23][emoji23]inauma sana mkuu, ila inabidi TU nichekeHisa za voda zimenipa somo kubwa sana. Yaani 1M inakuzalishia gawio la elfu 20 kwa mwaka mzima!!!
Duh,mama angu anajuta!Mkuu, hisa nimenunua 2017 lkn hadi leo hii sijawahi pokea gawio zaidi ya elfu 30 kwa mwaka. Hisa nilizonunua ni za shilingi milioni moja. You can imagine, kweli milioni inazalisha faida ya elfu ishirini tu kwa mwaka mzima? It means mtu aliyenunua hisa za milioni kumi aliambulia gawio la laki mbili tu! Ni ajabu sana. Gawio la kwanza nilipata kama elfu 12, gawio la pili nilipata elfu 20 hivi na gawio la tatu sikumbuki lkn ni hizo hizo za elfu 10 hadi 30 hapo.
Mimi nadhani hisa za voda zilikuwa overpriced ukilinganisha na uhalisia ndio maana profit per share imekuwa ndogo mno hadi unajiuliza hv ni kweli voda wapo Tz kwa ajili ya kuzalisha elfu 20 kwenye milioni moja kwa mwaka mzima. This is ridiculous! Au pengine voda hawakuwa na haja ya kuongeza mtaji bali walilazimishwa hivyo walikusanya mtaji ambao hawakuwa wanauhitaji na hivyo hautumiki kuzalisha faida. May be kampuni inaweza kuwa ilikuwa imefika maxmum level of growth Kwa hivyo mtaji mpya haujatumika kufanya ukuzaji wowote wa biashara, ikiwa na maana pesa imeenda pasipohitajika
[emoji23][emoji23]unaanza na mtaji wa laki 1 na nusu baada ya mwaka unakuwa na kuku elfu 10. haaa haaa dakeki
For sure lakini hiyo siyo level ndogo , hasa kwa sie wajasiliamali ,Tuongeze uelewa tununue hisa za makampuni makubwa duniani sio hizi za kibongo, pasua kichwa!
ni sawa na wale wa ukileta mwenzako unapata 6mUko uzi umu watu walikuwa wanauliza kama ule uwekezaji wa kuku uko vizuri ili wajiunge.
Kama uko hapa jukwani na umelizwa ni vizuri utupe mrejesho. Hii "story" huwezi kuisikia sana sababu watu wengi wanaolizwa mahela mengi mchana kweupe katika hizi fursa za uwekezaji ambazo zina "trend" sana siku hizi wengi wao wanakaa kimyaaaaa ili wasijulikane wamepigwa.
Na mimi nilipigwa katika "fursa" nyingine tofauti na hiyo ya KUKU lakini tulisimama kidete na karibia "kibosile" aliyetuingiza mjini ataenda kunyea debe asiporejesha mpunga wetu.
Kuna dada mmja na namjua tunamuita mchaga wa kizungu, yeye anafuga kuku wa kienyeji na kuuza[emoji1][emoji1][emoji1] Bora umeongea ukweli....mie nashangaa Sana...jiran yangu hapa every month anatuma watoto wanatuletea bloila kuanzia 3! Namuonea huruma...ufugaji wa kuku nw ni kizungumkuti!
Basi Kuna mtu akaniambia oh tukusanye mayai vijijini tuuze mjin..nikamwambia sifanyi kazi hiyo Mimi...! Kuku fuga ule Basi!..unahangaikia na kuku faida unakuja Pata 300k?? Chaa!
Usifananishe bitcoin na vitu vya kijinga, kwa mara ya kwanza nimezinunua satoshi chache two weeks ago na kuziuza hapo hapo nikapokea pesa yangu mpesa lengo ilikuwa tu ni shortcut ya kutoa ela skrill maana njia ya kawaida ilikuwa na matatizo nikaona bora ela niinunulie bitcoin halafu niuze kwa mnunuaji anayetoa malipo kwa mpesa.Next time ukiona biashara iko kwenye high trend jifikirie mara mbili mbili kabla hujazama uko vitu kama Bitcoin, 3 mzuka, Deci , mr kuku izo project huwa created watu wapigwe hela then wazilishi wanapita ivi na Senti zenu, Sehemu penye mpunga hapatangazwi ovyo ovyo