Mtaalam wa kuwekeza kwenye kuku tayari ameshawaliza

Hisa inategemea ulinunua zipi, nilinunua za ttc na breweries pesa ilirudi baada ya magawio matatu tu, nikanunua hisa za Tanzania oxygen, majanga matupu bin hasara , toka hapo nikaona biashara ya hisa Ni kichaa

Sent
 
Hisa inategemea ulinunua zipi, nilinunua za ttc na breweries pesa ilirudi baada ya magawio matatu tu, nikanunua hisa za Tanzania oxygen, majanga matupu bin hasara , toka hapo nikaona biashara ya hisa Ni kichaa

Sent
Tuongeze uelewa tununue hisa za makampuni makubwa duniani sio hizi za kibongo, pasua kichwa!
 
Rise africa...Fall Americaaa!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aiseeee gawio 9k khaaaaa
 
Hii inakupa tafsiri kwamba shida ya watanzania wengi si mitaji, bali hofu ya kuanzisha project zao binafsi na kuzikuza, wanaishia kudandia fake projects kwa matarajio ya kulinda mitaji huku wakivuna faida
Exactly.Hii ni 100% true.Na baada ya kulijua hilo nachukia kufanya mambo kwa: 1. influence ya watu
2. Influence ya pesa mbele.
Bali
Hata kama nitafanya project ambayo wengine wanafnya tayar nataka iwe kutokana na msimamo n matakwa binafsi
 
Bado fursa za watanzania kupigwa zipo na zitaendelea kuwepo mpk pale wengi watakapotambua kuwa hakuna pesa rahisi rahisi tu.
Kausha mkuu Unataka tukale wapi
 
Eti mzamo nusu[emoji15][emoji15]

Shwaini wewe!
 
Ni mapema sana kuwambia wametapeliwa kwa maana mda wa kupewa gawio bado.
Ukisha fika tu ndo watashangaa wanakutana na mabanda ya kuku tu bila mtu

Apo ndo utaona nyuzi za Mr kuku zinaongozana umu za kutapeliwa
Ukisikia video yake ya mwisho mr. Kuku ni kuwa akaunti zao zote zimekuwa frozen zinachunguzwa na serikali, hivi unadhani huo uchunguzi unaisha leo? na je kuna faida tena hapo ya kurudisha gawio!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…