Mtaalam wa kuwekeza kwenye kuku tayari ameshawaliza

Kufuga in a large scale na uwe na uhakika kbs wasoko hiyo nakubali somo...huyu anafuga kuku 300 wanakaa had 8wks! Hebu piga hesabu hapo tunapewa bure majirani wanamuumiza sn msos
 
Sikatai uhalali wa hio cryptocurrency ila tu kama ulikuwa aware wakati ina trend imepiga watu sana haswa wale waliokuwa wanaambiwa weka bitcoin kadhaa utavuna kiasi fulani na Watu kama m9 hio coin mimi pia nilikuwa mfatiliaji mzuri pamoja na ethereum i know its real ila tu ilivyokuwa introduced bongo ikawa on high trend na ikaachia watu vilema, forex pia ni baishara ipo na inafanyika worldwide ila kutokana na ndugu zangu watanzania kupenda shortcut kuna wakati forex ilikuwa on high trend ikapiga sana watu nadhani uliyashuhudia hayo, Lesson Ukiona kitu kiko on high trend Jipe brake kwanza kwa kukisoma in details kabla hujaingia mzima mzima ukidhani utatoboa chap hapo sijagusa wahanga wa Netwoking market kama wa Qnet, aim global n.k wako very frustrated si kwamba izo pyramid scheme watu hawapigi mpunga lahasha ila ni kwa uchache na wale top tu huwa mostly earners the rest mnabaki kuzungusha shanga na suti zenu, good morning billionaires
 
Tatizo kubwa watanzania wanapennda kutafuniwa hata mimi issue ya forex naijua muda nimeishoma kwenye uchumi toka zamani miaka ya 2009, ila nilivyoona iko ghafla kwenye trend nikajua kuna watu watalia maana siyo kila mtu anaweza fanya kama walivyoaminishwa kuwa ni rahisi otherwise huko mbele kila mtu angekuwa tajiri
 
Mkuuu umefikiria jambo kubwa sanaa...!! Kweli kabisaa voda ingekuwa inakopeshaa kama bank hapo sawa..
 
Kabisa mkuu kikubwa tuwe na utamaduni wa kusoma tu
 
Wachache wanakuelewa mkuu.
Hisa ni somo kabisa sema watu wanaingia na uelewa wa kawaida namna ya kuchagua makampuni ya kuwekeza kitu kinachopelekea kuleta matokeo tofauti na matarajio yao.
 
Kuanzia mwaka 2017 ushasoma financial statements ngapi za vodacom?
Na kabla ya kuwekeza ulisoma pia hzo f/statements?
 
Kuanzia mwaka 2017 ushasoma financial statements ngapi za vodacom?
Na kabla ya kuwekeza ulisoma pia hzo f/statements?
I care what I get as dividend, this is what matters most to the shareholders. Issues of financial statements and balance sheet, I did not read to be honest, however you have alerted me something important not to be ignored. Thank you
 
Hivi ni nyoya la tausi?! Long time. Eti yale maganda ndio chakula cha tausi!
Hahahaha ni nyoya kweli. Wengine walikuwa na lile kubwa lenye rangj rangi kama jicho katikati. Halafu unakatiwa kaunyoya kadogo unaambiwa ukafuge katakuwa kama nyoya kubwa. Halafu atageuka tausi. Sisi tulikuwa tunayalisha chumvi. Kila siku unafungua daftari kuangalia mfugo wako.
 
I care what I get as dividend, this is what matters most to the shareholders. Issues of financial statements and balance sheet, I did not read to be honest, however you have alerted me something important not to be ignored. Thank you
Kwa kuongezea kitu mkuu ukisoma f/statements utaona faida kamili ya kampuni ni kiasi gani na kujua kuhusu dividend policy ya kampuni husika. Kuna kampuni zinahold faida kamili as retained earnings na kutoa dividend ndogo tuu katika hiyo.
Sasa usiposoma f/statements huwezi kujua hili na kufanya maamuzi as sound investor.
 
Fortunately kwa hili mimi nimefanikiwa, so far boda 4 (sikununua zote at per, faida zilisaidia kununua nyingine) zote nmemaliza salama mikataba na tukakabidhiana vizuri... mmoja alitaka kuzingua mapema nikawahi nikabeba mali yangu nikampa mwingine.
 
Wewe unamkabidhi mtu boda anapomaliza mkataba???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…