Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Tusaidie na sisi,tusije tukapigwa mkuu!Mm pia nilishawahi kupigwa kwenye fursa fulan hivi hasara niliyoipata huwa sitak kuikumbuka wala kuisimulia
JESUS IS LORD[emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusaidie na sisi,tusije tukapigwa mkuu!Mm pia nilishawahi kupigwa kwenye fursa fulan hivi hasara niliyoipata huwa sitak kuikumbuka wala kuisimulia
😂 😂 😂 😂 😂Bado fursa za watanzania kupigwa zipo na zitaendelea kuwepo mpk pale wengi watakapotambua kuwa hakuna pesa rahisi rahisi tu.
Corona iliposhamiri nikajua obvious hiyo project itakwama , nilikuwa na study mama chanja anavohangaika na soko la kuku wake na ye ni mfugaji wa small scalle.
On a serious note , sijaelewa kwa nini watanzania tunakuwa addicted kwenye kupata pesa kirahisi na tunaishia kupigwa pesa , project haikuwa tofauti na deci yet watu wa kupigwa wamepatikana .
Sent
Acha wenge wewe!!!Am straight!!Sawa ila tunaanza na wewe mwenyewe...nazamisha kichwa tu kwa buku 50,upo tayari?
Hamna kituu, utapigwa mchana kweupeeKuna ishu Fulani inaitwa Nertwork makerting vipi mazee ina helaa???
Ukiambiwa kuna fursa tambua ww ndio fursa ,hapo hakuna pesa,inategemea na ulipojiunga kuna wengene waakupa dawa ukatembeze baada ya kuwekeza laki 5 yako kwao,kuna wengine unapeleka million 4 unapewa saa,au cheni nk,baada ya hapo unaambiwa umlete mtu mwingine ili upate faida zaid,Kuna ishu Fulani inaitwa Nertwork makerting vipi mazee ina helaa???
Mkuu umenikumbusha shule ya msingi tulikuwa tunaweka nyoya la tausi katikati ya daftari tukiamini atakua ndege mzima! Kumbe zile akili kuna watu wamekua nazo!Motivation Speaker
Karibuni Sana Kwenye Thread Ya Mafanikio
Wengi Walianza Ufugaji Wa Manyoya Mpaka Wakapata Kuku
Sawa nimekupa offer hyo ya 50,000 TZSAcha wenge wewe!!!Am straight!!
Ng'ombe hawaishi mkuu!Msisahau ng'ombe wanazaliwa kila siku!