Dr. Sajjad Fazel
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 435
- 428
- Thread starter
-
- #341
Hello dokta,
Hongera kwa kazi nzuri ya kusaidia jamii,
Dokta mimi nina matatizo ya miguu,inauma sana pindi ninapofanya mazoezi magumu(kwa mda mrefu),sikua na tatizo hili kabla,limeanza miaka 5 iliyopita,i am athletic nilikua nikicheza mpira vizuri tu bila matatizo then baadae haya maumivu yakaanza(chini ya magoti kwenda chini) sielewi ni maumivu ya mifupa,misuli au ni nini!sifurahii kucheza mpira any more,nisaidie inaweza kua tatizo gani na nitatibu hili tatizo namna gani.
Vyakula ni vya kawaida wali,ugali mboga mboga na matunda, maji nakuywa kiasi kama lita moja kwa siku
Sawa dr ntajaribu.Kunywa dawa hii:
Lactulose Oral 15ml kila siku kwa muda wa wiki moja alafu nipe mrejesho.
Asante.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hapana Lakini jamaa zangu kama watatu ni Madaktari pia nishawahi kuwa na wachumba wawili madaktari.
Sitokaa nisahau hiyo kitu maishani mwangu, nimekaa nayo kwa zaidi ya miaka mitatu, zilifika mpaka 6 tena zaidi ya 2.5mm, nashukuru Mungu kwa sasa zimeota.Doctor my friend has been diagnosed with ALOPECIA, she just woke up in a morning and find a spot of missing hairs on her head, it went on to be larger and larger now it 2.5mm radius. Dont know what to do she has been using some cream sort medicines prescribed by other doctor's and physician but the condition has not get any better. please help me with this one. View attachment 367402
Bado hujanijibu doctor, swali langu kuhusu sikio kuwasha kwa ndani, na madonda kooni
doctor nina tatizo la mafua kila asubuhi dawa yake ni nini
Ndiyo unaweza.Hello! doctor naomba kuuliza nmetokwa na mba ule mweupe kifuani kidogo na usoni ssa nkapewa dawa ya kupaka ya kentazol ule mba umeanza na kwenye layer ya juu ile ya uke nauliza kama hiyo cream naweza kupaka mpaka huko? maana ni sehemu ya mbele tu ile sio kwa ndani.
natumia zote au mojawaopoYaonekana umepata infection wakati ya mapenzi. Itabidi utumie antibiotic hizi kama nilivyoeleza. Usikose dozi.
1. Ciprofloxacin 500mg kidonge kimoja.
2. Doxycycline 100mg, kidonge kimoja kutwa mara mbili kwa siku saba.
3. Metronidazole 400mg kidonge kimoja kutwa mara tatu kwa siku saba.