Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Hello dokta,
Hongera kwa kazi nzuri ya kusaidia jamii,

Dokta mimi nina matatizo ya miguu,inauma sana pindi ninapofanya mazoezi magumu(kwa mda mrefu),sikua na tatizo hili kabla,limeanza miaka 5 iliyopita,i am athletic nilikua nikicheza mpira vizuri tu bila matatizo then baadae haya maumivu yakaanza(chini ya magoti kwenda chini) sielewi ni maumivu ya mifupa,misuli au ni nini!sifurahii kucheza mpira any more,nisaidie inaweza kua tatizo gani na nitatibu hili tatizo namna gani.

Mkuu inaweza kuwa umechana misuli au nyama inayoshika misuli. Yaani kwa kingereza tunasema "Ligament Tear". Itabidi ukwende kituo cha afya wakupime na kukushauri zaidi.
 
Doctor my friend has been diagnosed with ALOPECIA, she just woke up in a morning and find a spot of missing hairs on her head, it went on to be larger and larger now it 2.5mm radius. Dont know what to do she has been using some cream sort medicines prescribed by other doctor's and physician but the condition has not get any better. please help me with this one.
20160717_165200_resized-1.jpg
 
Dr.

Inasemekana kuwa ugonjwa wa kaswende (syphils) ni hatari sana na huambukizwa kwa njia ya ngono, na inasemekana kuwa mtu anaweza kuambukizwa akakaa nao hata miaka mitano asijue kama anao.

Na inasemekana kipimo chake cha VDRL huwa wakati mwingine hakionyeshi postive kwa watu wengi hasahasa kwenye stage za mwanzo. Na inasemekana kuwa ugonjwa huu husababisha madhara mengi ikiwemo ugumba na magonjwa ya moyo. Je madhara haya ya kaswende yanatibika baada ya kuutibu?

Na ni kipindi cha muda gani mtu aweza kuwa nao na asidhurike na magonjwa ya moyo na ugumba? Kuna kipimo kingine cha kuugundua ugonjwa huu kwenye hatua za mwanzo tofauti na VDRL?
 
Doctor my friend has been diagnosed with ALOPECIA, she just woke up in a morning and find a spot of missing hairs on her head, it went on to be larger and larger now it 2.5mm radius. Dont know what to do she has been using some cream sort medicines prescribed by other doctor's and physician but the condition has not get any better. please help me with this one. View attachment 367402
Sitokaa nisahau hiyo kitu maishani mwangu, nimekaa nayo kwa zaidi ya miaka mitatu, zilifika mpaka 6 tena zaidi ya 2.5mm, nashukuru Mungu kwa sasa zimeota.
 
Dr ninamtoto wa kiume alizaliwa na kidoti usoni na macho yanauchafu,,baada ya muda kidoti kikageuka kidonda kama cha kuungua moto,,kikapona akaanza kuwashwa masikio,,nikianhalia ni fungus,zimehamia kwapani,,je dawa gani naweza mpa?mtoto ana umri . Wa miaka miwili nanusu,2.5yrs
 
Hello! doctor naomba kuuliza nmetokwa na mba ule mweupe kifuani kidogo na usoni ssa nkapewa dawa ya kupaka ya kentazol ule mba umeanza na kwenye layer ya juu ile ya uke nauliza kama hiyo cream naweza kupaka mpaka huko? maana ni sehemu ya mbele tu ile sio kwa ndani.
 
doctor nina tatizo la mafua kila asubuhi dawa yake ni nini

Mkuu, Ushauri wangu ni hivi:

1. Jaribu kutolala kwenye sehemu ya baridi, kwa mfano chini ya pangaboi au A/C.
2. Hakikisha nyumba inasafishwa na kupigwa deki kwasababu mafua husababishwa na vumbi pia.
3. Tumia dawa hii kila siku usiku kabla kulala, Cetirizine 5mg kwa muda wa siku tano.

Asante.
 
Dr.

Mwanangu wa kiume mwenye miezi mitatu na nusu anatatizo la kuhema, anahema kwa tabu sana na anakuwa kama ana mafua mazito ambayo yamembana sana na anahema kwa kukoloma hata akiwa hajalala, usiku ndio anapata shida zaidi.

Nilienda hospital wamesema ana adenoids ila hawawezi kumkata kwa sababu ya umri wake ila wamempa dawa ambayo kwa kweli sioni kama ana nafuu.

Je, kuna msaada au ushauri naweza pata toka kwako.
 
Dokta tatizo langu ni kutokwa na mapele nikinyoa ndevu tu nimetumia after shave nying lakini bado naomba kama kuna njia au dawa ya kutumia Doctor
 
Hello! doctor naomba kuuliza nmetokwa na mba ule mweupe kifuani kidogo na usoni ssa nkapewa dawa ya kupaka ya kentazol ule mba umeanza na kwenye layer ya juu ile ya uke nauliza kama hiyo cream naweza kupaka mpaka huko? maana ni sehemu ya mbele tu ile sio kwa ndani.
Ndiyo unaweza.
 
Habari doctor,nasumbuliwa sana na kichwa nyakati za kuanzia jioni, wiki yote hii, nilienda kupima nikaambia kila kitu kipo normal, yaani mchana nikiangaika kidogoa au jogging kidogo jioni naugulia maumivu,ina wiki moja sasa. Kichwa kinauma kwa katikati, na pia kinakaribisha homa, nikiamka asubuh nakuta all is well mpaka jioni nyingine tena.bado cjajua tatizo ni nini.
 
Dr nina maumivu ya tumbo hapa katikati ya kitovu na sahv usiku yameshuka mpaka hapa karibia na nyonga upande wa kushoto mpaka mguu mzima unaniuma naomba kujua n tatizo gani na dawa kama zipo.
 
Back
Top Bottom