Dr. Sajjad Fazel
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 435
- 428
- Thread starter
- #341
Hello dokta,
Hongera kwa kazi nzuri ya kusaidia jamii,
Dokta mimi nina matatizo ya miguu,inauma sana pindi ninapofanya mazoezi magumu(kwa mda mrefu),sikua na tatizo hili kabla,limeanza miaka 5 iliyopita,i am athletic nilikua nikicheza mpira vizuri tu bila matatizo then baadae haya maumivu yakaanza(chini ya magoti kwenda chini) sielewi ni maumivu ya mifupa,misuli au ni nini!sifurahii kucheza mpira any more,nisaidie inaweza kua tatizo gani na nitatibu hili tatizo namna gani.
Mkuu inaweza kuwa umechana misuli au nyama inayoshika misuli. Yaani kwa kingereza tunasema "Ligament Tear". Itabidi ukwende kituo cha afya wakupime na kukushauri zaidi.