1 Maumivu wakati wa kukojoa = Pendelea kunywa sana Maji,madafu,Juisi ya mananasi,Juisi ya muwa na Matikiti.Maumivu wakati wa kukojoa ,,,maumivu makali ya kiuno,,,,maumivu ya kichwa na fluu ya mara kwa mara,,,,kutokwa na ute kama maziwa kwenye uumee,,
Hospital wamepima mkojo (u.t,i na mengine siyakumbuki) na kipimo kingine waliisema sijui biology napo hakukuonekena kitu ....masaada wako tafadhali amekata tamaa
Funguka kidogo huo uwasho unakuja na kuondoka au?Hivi Dr sometimes najisikia kama nawashwa tumboni kwa ndani,itakuwa ni nini?
Mie dr alithibitisha akaandika na omiprazoleVidonda vya tumbo hutokana na tatizo la acidity. Ni muhimu kujuwa kwanza kama unayo acidity pekee au umeambiwa na daktari kwamba unayo vidonda vya tumbo. Kama unayo vidonda vya tumbo, unaweza kuwa na bakteria ya "H.Pylori". Madawa zake ni tofauti na mtu aliyokua na acidity pekee.
Je uliambiwa nini na daktari?
Hapana Lakini jamaa zangu kama watatu ni Madaktari pia nishawahi kuwa na wachumba wawili madaktari.tozi25 Wewe ni Daktari au?
Dawa ya kutoa kitambi both for men and women
Hapana Lakini jamaa zangu kama watatu ni Madaktari pia nishawahi kuwa na wachumba wawili madaktari.
Mie dr alithibitisha akaandika na omiprazole
Gastrointestinal mkuu
Samahani kama nimekukwaza kujibu wagonjwa kwenye uzi wako lakini hayo majibu nimekosea au?Kuwa wachumba madaktari au hata ndugu daktari haifanyi uweze kuwa na upeo wakujibu maswali watu wanaouliza kwa daktari. Nitafurahi tukiheshimu elimu na taaluma za watu.
Hivi Dr sometimes najisikia kama nawashwa tumboni kwa ndani,itakuwa ni nini?
Samahani kama nimekukwaza kujibu wagonjwa kwenye uzi wako lakini hayo majibu nimekosea au?
Hivi Dr sometimes najisikia kama nawashwa tumboni kwa ndani,itakuwa ni nini?
Dr Sajjad mimi nina hiyo H.pylori na nimeshatumia sana HELIGO KIT for H.Pylori mfululizo nne kwa mwezi mmoja na nusu ila nimepima damu naambiwa bado Bacteria wapo kny damu. Nifanyeje?
Mimi nilikwenda kumuona daktari wangu mwezi nyuma kutokana mimi nina sinus allergy alinipa dawa moja nimesahau jina lakini nakumbuka hio dawa ina ingredients ya steroids nimeitumia kwa wiki moja na nusu kichwa,homa na makamasi yalizidi nikaamua kuwacha ndio nikarudia kutumia Cleritin ambayo huyo mchumba wangu ndio aliniambia nitumie. Baada ya siku mbili kichwa,homa na mafua yote yalikwisha ndio maana nikamwabia ajaribu hio Cleritin sikujua kama nimekosea kuingilia taalamu isiokuwa yangu.Hiyo unaweza kuwa
Ndiyo kijana umekosea na ndiyo maana sijaelewa ulichopata bali kuharibu mazingira na jina lako tu. Maumivu ya kichwa na flu kama ni pamoja na homa au maumivo kwenye koo inaweza kuwa infection. Lazima huwa tunamuuliza mgonjwa nakupata historia kivizuri.
Maumivu wa kukojoa inaweza kuwa UTI. Sasa mtu akinywa maji tu haisaidii.
Tafadhali tuheshimu elimu na taluma za watu.
Maumivu wakati wa kukojoa ,,,maumivu makali ya kiuno,,,,maumivu ya kichwa na fluu ya mara kwa mara,,,,kutokwa na ute kama maziwa kwenye uumee,,
Hospital wamepima mkojo (u.t,i na mengine siyakumbuki) na kipimo kingine waliisema sijui biology napo hakukuonekena kitu ....masaada wako tafadhali amekata tamaa