Kama inakuwa imefika kwenye figo ni kipimo gani unapima ili kugundua sasa UTI imefika kwenye figo?Unatumia vipimo ya Culture na Sensitivity lakini kama hamna tatizo kwenye sehemu za siri, basi anapewa antibiotic za sindano ya dozi kubwa na kupewa IV fluids pia.